Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,833
- 26,824
Soma huku unatafuta hela,maana unaweza usizipate pia,wakati huohuo mapenzi yanakutesa.Vijana tujikite zaidi katika kutafuta mpunga kuliko kupoteza muda kusoma saikolojia ya mwanamke.
Ukiwa na mzigo mfukoni hawa viumbe utawapanga mpaka utaanza kuwakimbia