Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 974
- 1,881
Happy union day everyone!
Leo nimewaza hiki kitu nikaona si vibaya kushare kinaweza kumsaidia mtu mahali.
Hivi ulishajiuliza incase umepata emergency yoyote mahali, ikatokea hujielewi, watu watakusaidiaje?
Mfano, umepata ajali, au umepoteza simu yako.
Maana simu zetu muda wote zinakuwa na passwords kila mahali, so mtu mwenye nia ya kukusaidia atakuwa amebaki na simu yako akisubiria ipigwe ndo atoe taarifa flan... Imagine
Kumbe! unaweza ukafanya settings kwenye simu yako, ukaweka baadhi ya namba za watu muhimu kwako kwenye emergency numbers, kiasi kwamba mtu anakuwa hahitaji password ya simu yako kumpigia huyo rafiki au ndugu yako kumpa taarifa.
Unafanyaje?
Inategemea aina simu lakini kwa nyingi.
Nenda kwenye settings ->Safety and Emergency -->Emergency contacts->add number hapa.
Inaweza kumsaidia mtu mahali