Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,820
- 31,847
Mama...Alikuwa mtu wa karibu wa Sykes?
Wewe ni mpumbavu kwa kutaka watanzania tukubaliane na upumbavu wako kwamba uhuru uliletwa na waislamu. Acha ushenzi wewe mzeeMama...
Hakika.
Unaweza kuanza kama hivi:
1. Abushiri bin Salim
2. Mtwa Abdallah Mkwawa
3. Hassan Omari Makunganya
4. Abdulrauf Songea Mbano
5. Kleist Abdallah Sykes
6. Abdulwahid Kleist Sykes
7. Ally Kleist Sykes
8. Abbas Kleist Sykes
9. Schneider Abdillah Plantan
10. Sheikh Hassan bin Ameir
11. Sheikh Suleiman Takadir
12. Sheikh Mohamed Ramiyya
13. Sheikh Mohamed Yusuf Badi
14. Sheikh Abdallah Rashid Sembe
15. Khadija Mkomanile
17. Titi Mohamed
18. Tatu bint Mzee
19. Halima bint Khamis
20. Hawa bint Maftah
21. Shariffa bint Mzee
22. Halima Selengia
23. Chiku bint Said Kisusa
24. Mama bint Mwalimu
25. Amina Kinabo
26. Nyange bint Chande
27. Zarula bint Abdulrahman
28. Fatuma Matola
Siwezi kuwataja wote.
Tosheka na hawa wachache.
Hii ndiyo historia ya Tanganyika.
Haiwezi kubadilika.
Umewaona Sykes wako wangapi?
Wako wanne baba na wanae watatu.
Waasisi wa African Association 1929, Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) 1933 na TANU 1954.
Kuna ndugu wengine: Abdallah na Maulidi Kivuruga.
Kuna wengine Iddi Faiz na Iddi Tosiri.
Wamanyema hao wanne wa mwisho.
Abdallah na Maulidi Kivuruga ni Waasisi wa African Association Tabora 1945 na TANU 1955.
Hawa wote nimetafiti na kuandika hapa JF historia zao katika kukabiliana na wakoloni.
Baadhi yao wamepoteza maisha yao katika kupigania heshima ya nchi hii.
Inakuwaje wewe leo unaghadhibishwa na historia hii?
Huwapendi wapigania uhuru wa nchi yako?
Mama...Wewe ni mpumbavu kwa kutaka watanzania tukubaliane na upumbavu wako kwamba uhuru uliletwa na waislamu. Acha ushenzi wewe mzee
Hilo ni baraza la maulid au kamati ya ujenzi wa msikitiMama...
Hakika.
Unaweza kuanza kama hivi:
1. Abushiri bin Salim
2. Mtwa Abdallah Mkwawa
3. Hassan Omari Makunganya
4. Abdulrauf Songea Mbano
5. Kleist Abdallah Sykes
6. Abdulwahid Kleist Sykes
7. Ally Kleist Sykes
8. Abbas Kleist Sykes
9. Schneider Abdillah Plantan
10. Sheikh Hassan bin Ameir
11. Sheikh Suleiman Takadir
12. Sheikh Mohamed Ramiyya
13. Sheikh Mohamed Yusuf Badi
14. Sheikh Abdallah Rashid Sembe
15. Khadija Mkomanile
17. Titi Mohamed
18. Tatu bint Mzee
19. Halima bint Khamis
20. Hawa bint Maftah
21. Shariffa bint Mzee
22. Halima Selengia
23. Chiku bint Said Kisusa
24. Mama bint Mwalimu
25. Amina Kinabo
26. Nyange bint Chande
27. Zarula bint Abdulrahman
28. Fatuma Matola
Siwezi kuwataja wote.
Tosheka na hawa wachache.
Hii ndiyo historia ya Tanganyika.
Haiwezi kubadilika.
Umewaona Sykes wako wangapi?
Wako wanne baba na wanae watatu.
Waasisi wa African Association 1929, Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) 1933 na TANU 1954.
Kuna ndugu wengine: Abdallah na Maulidi Kivuruga.
Kuna wengine Iddi Faiz na Iddi Tosiri.
Wamanyema hao wanne wa mwisho.
Abdallah na Maulidi Kivuruga ni Waasisi wa African Association Tabora 1945 na TANU 1955.
Hawa wote nimetafiti na kuandika hapa JF historia zao katika kukabiliana na wakoloni.
Baadhi yao wamepoteza maisha yao katika kupigania heshima ya nchi hii.
Inakuwaje wewe leo unaghadhibishwa na historia hii?
Huwapendi wapigania uhuru wa nchi yako?
Mdukukuzi,Hilo ni baraza la maulid au kamati ya ujenzi wa msikiti
Sasa mlifeli wapi hadi Nyerere kuwadogoshaMdukukuzi,
Angalia na hii TAA Political Subcommittee 1950: Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Abdulwahid Sykes, Dr. Vedasto Kyaruzi, Hamza Mwapachu, Sheikh Said Chaurembo, Steven Mhando na John Rupia.
Ilikuwapo pia Maulid Committe.
Mdukuzi,Sasa mlifeli wapi hadi Nyerere kuwadogosha