Safari ya Dar Mwanza kuna hili basi ni majanga

Ukitaka kuwahi panda kisbo ni sheeda na ukitaka luxury panda leo express au kisesa bro kama nauli yako ni pungufu panda best line hata ukiwa na elfu 25 mwanza unafika
 
Nawapa tahadhali kwa walio na mipango ya kufanya safari zao kwenda au kutoka mkoa wa mwanza hili gari ni majanga.Tumetoka ubungo saa 12 asubuhi mpaka sasa saa 10:30 jioni bado tuko Dodoma. Gari haliishi kutengenezwa.
Mwendo linaotembea ni wa miguu.Yes kuna vibao vya 30/50 linavitii ila utekelezaji wake unatetewa na ubovu wa gari lenyewe.Ni Happy Nation Express .aka.king'amuzi
Nauli yake sh ngapi?
 
Niliwahi kutoa experience binafsi ya hili basi.

Dereva ni mmoja from DSM to MWZ, hii ni risk!

Kama waliona michango ya kwenye jukwaa, wakajirekebisha, sins tatizo.
 
Nawapa tahadhali kwa walio na mipango ya kufanya safari zao kwenda au kutoka mkoa wa mwanza hili gari ni majanga.Tumetoka ubungo saa 12 asubuhi mpaka sasa saa 10:30 jioni bado tuko Dodoma. Gari haliishi kutengenezwa.
Mwendo linaotembea ni wa miguu.Yes kuna vibao vya 30/50 linavitii ila utekelezaji wake unatetewa na ubovu wa gari lenyewe.Ni Happy Nation Express .aka.king'amuzi
Nawapa tahadhali kwa walio na mipango ya kufanya safari zao kwenda au kutoka mkoa wa mwanza hili gari ni majanga.Tumetoka ubungo saa 12 asubuhi mpaka sasa saa 10:30 jioni bado tuko Dodoma. Gari haliishi kutengenezwa.
Mwendo linaotembea ni wa miguu.Yes kuna vibao vya 30/50 linavitii ila utekelezaji wake unatetewa na ubovu wa gari lenyewe.Ni Happy Nation Express .aka.king'amuzi
Nawapa tahadhali kwa walio na mipango ya kufanya safari zao kwenda au kutoka mkoa wa mwanza hili gari ni majanga.Tumetoka ubungo saa 12 asubuhi mpaka sasa saa 10:30 jioni bado tuko Dodoma. Gari haliishi kutengenezwa.
Mwendo linaotembea ni wa miguu.Yes kuna vibao vya 30/50 linavitii ila utekelezaji wake unatetewa na ubovu wa gari lenyewe.Ni Happy Nation Express .aka.king'amuzi

Muda was matumizi was hili bus umepita.

King'amuzi ilivuma Sana 2012/2013. Ulikuwa ukifika hapa stand ya NYEGEZI, huulizi Mara 2 gari ya kwenda DSM.

Miaka imeenda sasa, alihamishie barabara ya vumbi kama kina NYEHUNGE!
 
Back
Top Bottom