Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

From my point of view Chenge kama a Learned Counsel aende mahakamani lakini God forgive me I hate this dude I wish wangemfilisi mara moja na police inquiry juu wamfunge.Kuna mambo niliyadaka jana kona fulani kutoka kwa mheshimiwa mmoja hivi nayafanyia kazi if they are true ladies and gentlemen humu JF will be shocked wait until am finished.
Tumechoka kweli.
 
Mtenda dhambi hukumu humfata hadi kaburini, Chenge dhambi yake ya ufisadi na kiburi ndiyo yanayomletea matatizo yote haya. Yeye ajinyamazie tuu maana kayaharibu mwenyewe,asubiri hukumu dhidi yake
 
Hawa watamalizana wao kwa wao. In any case Chenge na mtuhumiwa mwingine yoyote yule kwa jambo lolote lile ana haki ya kujitetea ndani na/au nje ya bunge na mahakama. Ifike mahala nasi wana JF tuache uzandiki wa kupitisha hukumu. Tuna haki ya kuwachukia hawa wanaonekana kuwa ni mafisadi lakini lazima tuviachie vyombo husika kutoa hukumu.

Kitendo cha Spika kuwahusisha na uchawi wale walionekana ndani ya bunge baada ya saa za kazi ilikuwa ni ujuha and very unprofessional. Tatizo la wanasiasa wetu kila mmoja sasa hivi anafanya kazi kwa minajiri ya kupigiwa makofi. When publicity stunt becomes a goal in politics the room for serious and informed debates inevitably becomes closed.
 
if this will happen, it is bound to be a big show! but i doubt that it will
 
Sawa Kitila uko sahihi, tusiwahukumu, lakini haingii akilini kwamba alipita viti vyote hadi cha spika kutafuta kiti cha kukaa!!

Afu sidhani kama Sita pia ni mwehu alisema bila uhakika, Chenge anatapa tapa na hapa anataka kujimaliza kabisaaa subirini muone ngoma yenyewe ndo kwanza inapashwa moto.
 
Jamani vipi...Hivi ukiwa jikoni si lazima Uonje!! wapishi wapo jikoni..ndio hao!! wameonja..nyie walaji kutwa nzima mnaulizia shingo iko wapi? wamekula wakina Mkapa!! wapishi wakuu...

Hivi JK haonji!?
 
hIVI Chenge anatitafuta nini watanzania?Mzee ya Vijisenti na Vijiuchawi kiduchuu tuu....haha anamuonea Six,anaona ndio pa kutokea hapo??hapana ajiandae kujibu tuhuma zake tu na si kuanzisha "deal" ili watu tusahau yaliyojirii..hapanaa...hapanaa nakemea kabisa hapanaa....................tena utulizane utuachie ubunge wetu na hata NEC/CC utokeee..kwani lazima wewee??upumzike uone kama mambo hayataenda.........tumechoka jamanii..kila siku nyie tuu
 
Viti vya wabunge vinaeleweka, kama alikuwa anatafuta seat alikwenda kufanya nini kwenye seat ya SPIKA? Hakujawa na mtu akajibu hili swali. Inasemekana alikwenda pia kwenye kiti cha Spika. Sasa Chenge alikuwa anataka kukaimu USPIKA bila ya uchaguzi ndani ya bunge?

Mmh yetu macho, wote ni wanasheria. Chenge awatumie mafisadi wenzake wale IMMUS sijui IMMAS, .......whatever. Vita na fisadiz mwendo mdundo.
 
Hawa watamalizana wao kwa wao. In any case Chenge na mtuhumiwa mwingine yoyote yule kwa jambo lolote lile ana haki ya kujitetea ndani na/au nje ya bunge na mahakama. Ifike mahala nasi wana JF tuache uzandiki wa kupitisha hukumu. Tuna haki ya kuwachukia hawa wanaonekana kuwa ni mafisadi lakini lazima tuviachie vyombo husika kutoa hukumu.

Kitendo cha Spika kuwahusisha na uchawi wale walionekana ndani ya bunge baada ya saa za kazi ilikuwa ni ujuha and very unprofessional. Tatizo la wanasiasa wetu kila mmoja sasa hivi anafanya kazi kwa minajiri ya kupigiwa makofi. When publicity stunt becomes a goal in politics the room for serious and informed debates inevitably becomes closed.

Mkuu, nilisema maneno yanayofanana fanana na haya nikaonekana juha! Nikaitwa mzandiki, mwenye chuki binafsi, mtu mzima ovyo na mengineyo. Nikaambiwa mbona magazeti yametoa facts, mimi nani wa kuzihoji! Hii kupenda kuhukumu watu kwa circumstantial evidence ndiyo inayotupelekea tuue bibi zetu wenye macho mekundu, albinos, wenye alzheimer ( sisi tunawaita wanga) na wengineo maana hakuna kitu katika jamii yetu tunachochangamkia kama tuhuma za ulozi. Hii ni kweli mpaka kwa wale ambao wanastahili kujua vyema zaidi.
 
Nakubaliana na Kitila! Mzee wa spidi ana spidi sana kiasi kwamba kila wakati anaanguka! Hajui kupangilia maneno yake ndo maana sidhani kama ana standard! Hili la uchawi kwa kweli silijui na nimesema awali kuwa siamini kuwa ni la kweli. Kwamba alienda kwenye kiti cha spika means nothing. Kwani pale ni restricted area? After all anaweza kwenda pale ili aone kama sehemu aliyochagua inaonekana vizuri na spika! Why is the speaker's seat so special in this context.
 
kina hollo wako wapi waje wamtetee bosi wao?!!!
loh the guy ryt nw kweli kapotea yan kawa mtu wa ovyoooo jina gani sasa alilo nalo???si bora hata mie nina jina la mtanzania nisiye na kashfa???yeye kwenye ufisadi yumo,uzinzi na wanawake yumo,wizi na u robbery yumo, u fremasons sijui yumo juzi kaongeza kwenye vc yake ulozi na uchawi bin sangoma sijui kalumanzila...hivi wajimini mwakumbuka ku up2date resume yake if not his c.v???
 
Mhe.Chenge amedai kwamba Spika amemchafulia jina Nationally and Internationally.
He says he is going to push for a Parliamentary Disciplinary Committee to oversee this issue.
His Lawyers are going to act promptly.
Kivumbi hichooo!

"...Pia, suala la Spika Samuel Sitta linatarajiwa kutawala mjadala, huku kukiwa na kundi linalotaka kuwasilisha hoja binafsi ya kutaka kumng'oa madarakani kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye."

source; https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=215333

...Kidogo kidogo uwongo 'uliokusudiwa' utajitenga na ukweli utadhihiri, BTW, wote hawa ni wanasheria by profession, muhimu ni wabunge wenye akili zao timamu kuwahi kufukia mashimo kabla 'mvua hazijaanza', pamoja na kuziba nyufa 'pupwe' linapopitia!

the whole saga stinks! ...kuna uwezekana mkubwa sana yote ilikuwa plot ya kundi fulani kwa maslahi yao binafsi kumfanya Spika aonekane juha kwa kutamka hadharani imani za uchawi!

yangu macho na masikio!
 
Uanasheria wao unatofautiana sana. Mmoja amepractice sheria kwa miaka mingi, mwingine hajawai kuiona mahakama wala kupractice popote!
 
Huenda Hizi Zikawa Ni Mbinu Za Mafisadi. Kuwa Inasemekana Mafisadi Wanampango Wa Kumwondoa Bwana Sita Ktkt Kiti Chake Kwa Kura Ya Kutokuwa Na Imani Na Yeye. Baada Ya Kumng'oa Watamweka Mtu Wao Ktk Hicho Kiti. Na Hivyo Wakalichezea Bunge Kiufisadifisadi
 
Change+3.JPG

CHENGE AKIAPA, MKONO WA KULIA AMESHIKA BIBLIA TAKATIFU.
 
Hawa watamalizana wao kwa wao. In any case Chenge na mtuhumiwa mwingine yoyote yule kwa jambo lolote lile ana haki ya kujitetea ndani na/au nje ya bunge na mahakama. Ifike mahala nasi wana JF tuache uzandiki wa kupitisha hukumu. Tuna haki ya kuwachukia hawa wanaonekana kuwa ni mafisadi lakini lazima tuviachie vyombo husika kutoa hukumu.

Kitendo cha Spika kuwahusisha na uchawi wale walionekana ndani ya bunge baada ya saa za kazi ilikuwa ni ujuha and very unprofessional. Tatizo la wanasiasa wetu kila mmoja sasa hivi anafanya kazi kwa minajiri ya kupigiwa makofi. When publicity stunt becomes a goal in politics the room for serious and informed debates inevitably becomes closed.

Tatizo viongozi wetu wote ni washirikina. Ndiyo sababu hawaaminiani wao kwa wao. Si umesikia trip zao za Bagamoyo au uliza watu wa Mombo (Korogwe) pia wana story za viongozi wanaopitia pale kupelekwa milimani kwa waganga.
 
Change+3.JPG

CHENGE AKIAPA, MKONO WA KULIA AMESHIKA BIBLIA TAKATIFU.
Wow nice pic!God bless you A chenge!MUNGU AKUKOMFORT KATIKA HIKI KIPINDI KIGUMU!
YOTE YANA MWISHO!IKOSHILA DUHU HAYA NI MAPITO TU KATIKA HII DUNIA!
Grazie!
Hollo
 
kina hollo wako wapi waje wamtetee bosi wao?!!!
loh the guy ryt nw kweli kapotea yan kawa mtu wa ovyoooo jina gani sasa alilo nalo???si bora hata mie nina jina la mtanzania nisiye na kashfa???yeye kwenye ufisadi yumo,uzinzi na wanawake yumo,wizi na u robbery yumo, u fremasons sijui yumo juzi kaongeza kwenye vc yake ulozi na uchawi bin sangoma sijui kalumanzila...hivi wajimini mwakumbuka ku up2date resume yake if not his c.v???

Hao akina Hollo na Masaka ni kama wale akina Mchambuzi. Wanatumwa huku kuja kutetea maslahi ya wazee wao. Utaona mjadala wa chenge ukiisha wataishia. Wananikumbusha akina Jadili enzi za RO na Mchambuzi enzi za EL na uchumi wa TZ unapaa!!!!!!
 
Sawa Kitila uko sahihi, tusiwahukumu, lakini haingii akilini kwamba alipita viti vyote hadi cha spika kutafuta kiti cha kukaa!!

Well, sasa kwa nini tukimbilia uchawi? Kisaikolojia kuweka mambo ya uchawi ni uthibitisho kwamba ama umefika mwisho wa kikomo cha fikra au hutaki kufikiri.

Huenda Samwel Sita hajui uzito wa kiti anachokalia; laiti angejua pengine angeweza kuwa makini angalau kidogo. Unapokuwa spika halafu watu wanaweza kuku-identify na makundi ya kisiasa kirahisi kabisa ndani ya bunge ujue uspika ama umekushinda au huuwezi in the first place. Adamu Sapi Mkwawa na Pius Msekwa waliongoza mabunge magumu zaidi kuliko hili la Sita lakini waliweza kuyamudu vizuri kwa sababu walikuwa makini. At times Mkwawa na Msekwa waliweza ku-sacrifice umaarufu kwa ajili ya umakini. Lakini huyu Sita inaonekana anapenda sana kupigiwa makofi at the expense ya umakini na maamuzi sahihi.

Yeye ameshatuhumu watu kwamba ni wachawi sasa kwa nini tena anahangaika kupeleka hili jambo likachunguzwe? Wewe umewahi kuona wapi uchawi unachunguzwa kisayansi? Kama alikuwa anataka uchunguzi wa uchawi alipaswa kupeleka kwa wachawi sio kwa hao wataalamu wa polisi.
 
Back
Top Bottom