SABC NEWS: Magufuli kutoka Rais apendwaye mpaka kuwa dikteta!

Hivi mbinu mbadala ya kumngoa huyu jamaa ni ipi? Hakifika 2020 atakuwa kafilisi nch yetu. Huyu jamaa na bashite ni wezi na majambaz respectively..

Mi naona kma vile matumain yake ya kuendelea baada ya 2020 yameshuka. Sasa kaamua kutunyanyasa na kutuibia kisawasawa.
 
Magufuli kufanya kosa kubwa sana la kugusa masilahi ya miungu watu wa nchi hii.
Hakika atapata tabu sana.
Bora angenyamaza kimya tu kama wale walio tangulia ajilimbikizie mali atimke zake lakini kwa hiki anachofanya ni kosa kubwa kwa sababu watu walishaifanya nchi hii shamba la bibi.

Acha kupotosha Watanzania, wote hatuko hivyo unavyodhani. Tunahitaji sheria itumike kuadhibu watu wote kwa usawa. Haiwezekani imwadhibu Mh. Xxx na haiwezi kumwadhibu Mh. Yyyy. Hayo ndiyo mambo yanayotupa hasira Watanzania.
 
wale jamaa wa mchanga wanafanya vikao usiku na wakubwa wa dunia , hawalali..
 
Hivi mbinu mbadala ya kumngoa huyu jamaa ni ipi? Hakifika 2020 atakuwa kafilisi nch yetu. Huyu jamaa na bashite ni wezi na majambaz respectively..

Mi naona kma vile matumain yake ya kuendelea baada ya 2020 yameshuka. Sasa kaamua kutunyanyasa na kutuibia kisawasawa.
Yes, kweli huyu ni mwizi huyu we huoni kazuia hata mchanga wa Madini. Huyu kweli ang'olewe huyu ili inchi ifaidike.
Au unaonaje hapo mkuu???
 
Nikweli mkuu ndiyo maana hata pesa nyingi kutoka ulaya sasa zinaongezeka kila kukicha chapa kazi jpm wetu tupo nawe daima hawa wauza madawa watanyooka tu.
Dah.... Na bado miaka 8.... Watakondaaaa..... watazeekaaaaaaa... Dadadeki
 
Uzuri ni kwamba watanzania wanaona kwa macho yao siyo hao mabepari.
ELIMU, ELIMU, ELIMU!
Watanzania vs. mabepari.
Watanzania walipozika 'ujamaa na kujitegemea', waliamua kufuata mrengo gani vile?
 
Magufuli kufanya kosa kubwa sana la kugusa masilahi ya miungu watu wa nchi hii.
Hakika atapata tabu sana.
Bora angenyamaza kimya tu kama wale walio tangulia ajilimbikizie mali atimke zake lakini kwa hiki anachofanya ni kosa kubwa kwa sababu watu walishaifanya nchi hii shamba la bibi.
Wakina nani hao miungu watu mkuu?
 
Nikweli mkuu ndiyo maana hata pesa nyingi kutoka ulaya sasa zinaongezeka kila kukicha chapa kazi jpm wetu tupo nawe daima hawa wauza madawa watanyooka tu.
HV si ndo alisemaga hataki Msaada ya masharti huyu?
 
Hivi wale washauri wa pale mjengo mkuu wapo kazini au walifukuzwa pamoja na wale wapishi wa biriani? Maana picha iko kama vile mzee yuko mpweke hana wa kumshauri nini cha kufanya.
Hapo hapo anapata na muda wa kumuingiza bi mdogo getoni kwake.
 
SABC huwa siwatofautishi sana na I24, BBC, SKY NEWS, FOX NEWS, Al Jazeera na CNN kwa ' umakini ' wao wa Habari za kweli, zilizotafitiwa na kutukuka kabisa. Nitoe tu Kongole ( pongezi ) zangu sana kwa SABC kwani wameweza kufanya kile ambacho TBC1, Daily News na UHURU wasingeweza kukigundua hata baada ya miaka 10,000 kupita.
Sio kwamba hawawezi kukigundua, wanakijua sana lakini hawawezi kamwe kukiandika!

Kumbe dunia inaangalia eeh! Kumbe hatutakufa kubudu!
 
Inaibika sababu TV ya makaburu imesema ,mbona ya kwao yamewashinda na huwasikia wakiandika hivyo,kuna ubaguzi dhidi ya wageni ,kuna rushwa za Zuma ,Wahindi kumchagulia mawaziri Zuma na sasa maandalizi ya kumtimua Zuma ,yote hayo ya kwao lakini mbona hawasemi ya kwao?shida sisi Watanzania uzalendo ni sifuri tumebaki kusifia ya wenzetu hata kama ni mavi
Peleka malalamiko TBCCM , nao wa criticise mapungufu ya Zuma
 
Tanzania’s Magufuli descends from darling to despot

SABC wameandika kwamba rais Magufuli alianza madaraka vizuri kwa kuchukua hatua mbalimbali kama vile kupambana na rushwa, kusafisha wafanyakazi hewa..nk. Lakini ghafla ameanza kuwakandamiza wapinzani kwa kuzuia mikutano ya kisiasa mpaka 2020. Na pia kuwakandamiza wana habari ikiwa pamoja na kufungia baadhi media hizo. Wamesema Magufuli toka aingie madarakani amekuwa akivishutumu vyombo vya habari na kuvitisha! Na pia habari inasema baada ya RC wa Dar kuvamia kituo cha Clouds, waziri wa habari na utangazaji wakati ule Nape Nnauye aliteua tume ya uchunguzi na ikashauri RC achukuliwe hatua. Lakini badala yake yeye waziri ndiyo akafukuzwa badala ya mkuu wa mkoa aliyetenda kosa. Na hiyo imetajwa na habari hii kama ni udikteta mmoja wapo wa Magufuli.

Source: SABC News - Tanzania’s Magufuli descends from darling to despot:Sunday 9 April 2017
SABC ni kama kituo chochote cha habari. Nafikiri wangeeandika mambo ya rais Zuma alivyoharibu UCHUMI wa nchi yake badala ya kuandika kuhusu Tanzania. Rais Magufuli hatawali ama haongozi taifa kama DESPOT/Kutumia nguvu ama katika hali ya kuwa AUTOCRATIC ruler./Mabavu, Kwa mtazamo wangu

Rais Magufuli anaitakia nchi MEMA. Kumbuka alikuwaga mwalimu. Na walimu mara nyingi hupenda NIDHAMU izingatiwe.Nafikiri YULE aliye walipa SABC kusema UONGO ajue Watanzania wanajua ni NINI wanataka katika nchi yao.
SABC should concentrate on their wayward President than President Magufuli.
That is my take!!
 
Back
Top Bottom