Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 77,279
- 124,091
Wewe kama masikini huna uwezo wa kumiliki flagship Samsung bila makelele utabaki kuwa masikini hivyo tu, kukuita masikini ni fact si kujimwambafy.Kwa uelewa wangu kujimwambafy ni kuita watu masikini mitandaoni na kuwaambia watu unahesabu nyumba Marekani, tena kwenye mada inayohusu simu, sio hata mada ya maisha. Such an irrelevant point
Nimekuambia nahesabu nyumba US, sihesabu simu, kwa sababu wewe ulileta habari kwamba watu wakimiliki Samsung flagship wanajiona matajiri.
Nimekuambia sihesabu utajiri kwa kuhesabu simu, nahesabu nyumba Marekani.
Ushuzi unajamba wewe, mimi nikikueleza hapa umejamba, lawama unanipa mimi kunihoji kwa nini nimekueleza hapa umejamba?
Kubali tu Samsung si simu iliyotengenezwa kwa kukujali wewe.
Tafuta brand ya simu inayokujali.
Usilazimishe mapenzi sehemu usipopendwa.