gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 1,801
- 2,258
Naomba mnielewe hapa sizungumzii Samsung flagships kama s24, s24 ultra no. Mostly "A" series.
Zifuatazo ni sababu kwanini siwezi kutumia samsung mid rangers.
1. Design mbovu: hawa jamaa ubunifu sifuri wanatengeneza simu zenye muonekano wa mwaka 1990 hata tecno anawazidi.
3. Betri ndogo: Hawa jamaa ni kawaida tu kutengeneza simu yenye betri 3900mahz halafu hyo simu wakaiuza milioni 2.
4. Screen resolution ndogo 1080×2340: Hawa jamaa simu zao zote zinazouzwa chini ya milioni screen resolution ni moja

- Bezels nene(ufito wa pembeni wa simu)mfano A15, A25,A 34: simu nyingi za sasa hivi ni less bezels au bezel less kabisa.
- Mwaka 2023/2024 kutengeneza simu yenye water drop notch kama A16 ni uongo simu nyingi sasa hivi zina punch hole.
- Simu nene(8.2mm): sasa hivi makampuni mengi yanatengeneza simu nyembamba (7.7mm au 7.8mm)