Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 611
- 829
Wadau habari nimekutana na malalamiko yakihusu shirika la ndege la Rwanda kwamba ni wababaishaji sana katika safari zao
Usalama wa mizigo ni mdogo pia ratiba zao hazieleweki
Aidha huduma kwa ujumla ni mbovu abiria wanasumbuliwa mara kwa mara kupekuliwa kama wahalifu kubadilishiwa siti za kukaa bila maelezo yoyote, hivyo ni shirika lisilofaa kusafiri nalo