Ohoooo!!!Toba kumbe kuna mtu kazaa a shemejiwe
Hili povu la Shyrose kwa mwenyekiti aliyemkata kimabavu linaichana CCM vipande-vipande hadi raha.
Zawadi yangu ninayokupa ni recognition ya mchango wako!!Asante Mkuu. Nipe zawadi
Hilo ndio swali. lakini huyu alikuwa haanzi mwanzo alikuwa anatetea kiti chake kama makongoro na kimbisa. Hivi inawezekana Magufuli kukatwa jina ndani ya CCM 2020? Term limit ya EALA ni miaka 10.Kwani term limits ni miaka mingapi? Halafu kila mgombea si lazima adhaminiwe na chama chake?
Kwa hiyo mimi huwa hunipendi baby najisikia vibaya naona wivuHuwa ninakupenda sana Petro E. Mselewa maana umeiva kwenye sheria
Atoke ccm kama anaona hailipi.Shyrose ndio aliyezima jaribio la Rwanda kutumia bunge la EAC kwa maslahi ya utawala wao wa kidikteta, ikiwemo kuongoza wabunge kupinga kupinduliwa kwa spika aliyekataa hoja ya Rwanda kutengeneza historia batili ya genocide ambayo ingekuwa endorsed na bunge hilo. Shyrose pia alikuwa mstari wa mbele kupinga ardhi yetu kuwa ya cha wote ndani ya EAC, kinyume na matakwa ya Rwanda. Hilo ndio kosa lake.
Bahati mbaya mkuu wa sasa ni "rafiki" (mwenzao?) wa utawala wa kidikteta wa Rwanda, hili liko wazi. Sera yetu juu ya Rwanda kisiasa tuliyokuwa nayo toka tuwasuluhishe 1994 imepinduliwa chini juu! Hii ndio sababu haijawahi kutokea mtu anakatwa jina na mwenyekiti kimabavu bila kikao kuelezwa chochote kile!
Kashfa hizi zinazorudiwa rudiwa kuhusu ulevi na kupigana etc, zilishathibitika kuwa ni fitna za vyombo vya habari vya serikali ya Rwanda humu humu JF kitambo sana. (threads ziko chini). Jamani, bunge la EAC linaendeshwa kwa sheria, mbunge akikosea anafukuzwa kama ilivyo bunge lingine. Ukweli ni kuwa baada ya vyombo vya serikali ya Rwanda kueneza propaganda juu ya Shyrose, HAKUNA SHITAKA HATA MOJA ambalo shyrose alipewa kutokana na huo uzushi wa Rwanda! Na mtu akifanya fujo kwenye ndege pia hukamatwa immediately akitua huko anakokwenda. Vyombo pekee vya habari vilivyoandika habari hizi ni vya serikali ya Rwanda!
In fact SERIKALI YETU WENYEWE pia ilisimama kifua mbele kwa kumtetea shyrose! (thread hapa: Serikali: Shy-Rose hakupigana Kenya), leo hii mkuu wa serikali anamkata Shyrose kwa tuhuma zipi tena?
Shyrose so far ndio mbunge mwenye mchango mkubwa EAC kuliko wengine, lets be objective hapa, ni mchango gani wabunge wengine wote wa TZ wametoa bungeni EAC kumzidi shyrose? Kwa nini hoja isiwe kiwango cha kazi yake na badala yake tunajikita kwenye mfumo dume kuhoji masuala ya ndoa yake? Huu ni unafiki just because she is a woman!
Hatari tuliyonayo sasa ni kuendeshwa na Rwanda. Hii ndio system yao duniani kote, unapoingia utawala rafiki na wao, wale maadui zao wote wa zamani huwa "wanasomeshwa" namba kama anavyofanyiwa Shyrose. Msishangae kashfa mbalimbali zikaanza kuibuka dhidi ya Membe, Kikwete, Kamanda kibolwa na wengineo wote.
Na tusishangae sasa tukaanza endorsement ya historia ya genocide according to Kagame, ingawa nchi yetu ilikuwapo na ilishuhudia what happened, tayari amri za ma DC kuwatoa wafugaji haramu maporini kule Kagera, zinatenguliwa na "ngazi za juu" kwa upuuzi eti "hatuna pa kuwaweka wanyama"! Sasa tusishangae serikali yetu ikiridhia kuwa ardhi yetu ni iwe ni free for all kwa EAC wote n.k
Kwa tunaoelewa geopolitics, shyrose will always be a heroine!
Past theads:
1. Shy-Rose Bhanji Ajitetea
2. Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki
3. Aibu: Shyrose Bhanji azua tafrani ziara ya EALA
hahahah, nakupenda YEHODAYA! hii ndio amri kuu aliyotuachia Bwana wetu kuwa AMRI MPYA NAWAPA PENDANENIKwa hiyo mimi huwa hunipendi baby najisikia vibaya naona wivu
Tupo pamoja MkuuZawadi yangu ninayokupa ni recognition ya mchango wako!!
Mkuu upo? Umerudi tu na kuanza na Lowasa? Kwani Mizengo K. Pinda hawezi kumpa jibu?Watu waliojitokeza kuomba ubunge ni zaidi ya 400 halafu mtu mmoja anadhani ni haki yake pekee kuwa mbunge.
Uongozi ni kupokezana vijiti. Muda wa uongozi wake ndani ya bunge la EAC umefika kikomo kwa tiketi ya CCM. Kulia lia hakusaidii chochote. Just shake the dust and move on!
Unadai hakuna mtu aliyekatwa jina kwenye vikao vya CCM bila kutolewa maelezo. Are you kidding me? Kamuulize Edward Lowassa atakupa jibu sahihi.
Hii ni nafasi ya kugombea sio ya kuteuliwa kama ya kina nape!Jamani hakuna alo wahi kuwa mbunge milele, mbona mwenzie Nape ametolewa uwaziri juzi na akaishia kushukuru tu!? Ndio maisha hayo huwez kuwa sehemu moja milele, she should get over with it, and move on. Nothing is permanent in this world.
Shy hakuzaliwa akiwa mbunge atulie sasa ubunge umeisha na ni wa muda tu
hata Mbowe aachie ngazi zama zake zimepitaHakuna haja ya kudhanidhani, Shyrose amemaliza muda wake na apumzike. Siasa ni zamu kwa zamu. Na kila zama ina watu wake
ameeeeeeeen, kubwaTupo pamoja Mkuu
Huu utawala wa sasa hauna tofauti na Rwanda
Hangaika na CCM yako ya chadema haya kuhusu. Viroba mnanunua wapi na serikali imeshakataza?Tumpe nafasi CHADEMA?
Kwani alikuwa mbunge wa kudumu kama mwenyekiti wetu?
Kikao hujadili na sio mwenyekiti kubwata "huyu sitaki hata kumsikia..." halafu ishu inafungwa. Kikwete alijadiliwa na maamuzi yalikuwa kweli ni ya kikao.Kiongozi wa kisiasa aliyekomaa ukubaliana na maanuzi ya vikao
Hapo ndipo ninapomuheshimu Jakaya Kikwete
Kwa yaliyotokea kwake 1995
Ingekuwa viongozi wengine wenye tamaa ya madaraka kama kina mamvi
Leo hii angekuwa amefutika katika siasa za Tanzania
Lakini pamoja na yote alitulia
Akawa mtiifu kwa chama chake
Na baadaye 2005 akaja kuwa mgombea
Hilo ni funzo kubwa sana kwa wanasiasa
Katika siasa kuna kupanda na kushuka
Kuna kubebwa na kuonewa
Kuna kung'aa na kufifia
Cha muhimu ni kuwa mtiifu kwa maamuzi ya vikao vya chama
HahahahaHii ni nafasi ya kugombea sio ya kuteuliwa kama ya kina nape!