Very smart commentsKama kweli Urusi kapeleka silaha Iran basi ni Kwa ajili ya USA,maana inasemekana USA kapeleka wanajeshi huko.
Kinachowatenganisha Urusi na Israel ni USA.
Mahala popote alipo USA basi Urusi atakua kinyume chake.
Na mahala popote alipo Urusi basi USA atakua kinyume chake.
So kama USA atakua upande wa Israel kumpiga Iran basi Urusi atakua upande wa iran kupambana na USA.
Hii imewahi kutokea huko nyuma.
Toka zama za Yom kippur na seven day war.