Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,760
- 1,619
Si sahihi hata kidogo. Ni kweli askari anaweza kuwa kampenda huyo mdada ila katika mazingira haya ni moja kwa moja itaonekana ana andaa mazingira ya rushwa ya ngono.si sahihi njia anayoitumia huyo askari polisi
Pili huyu askari ana changaya kazi na mapenzi hii inamuondolea sifa ya kuwa mpelelezi mzuri. Kwa sababu he is mixing business with pleasure which he is likely to end up nowhere.
Ushauri: Mwambie dadako amuombe OC CID ampangie mpelelezi mwingine ni haki yake. Akiulizwa sababu natumaini ataeleza vizuri.