Rungwe Ocean Resort, Marina Beach Resort, Nani mmiliki?

Rungwe oceanic resort ilikuwa ya bwana mmoja aliyeitwa Mwakitwange ambaye alianzisha chama cha PONA na aliposhindwa kwenye siasa alikufa yeye na mali zake zote.
Mkuu naongeza nyama ktk historia ya Mzee Mwakitwange kama nilivyoona katika mtandao, maana JF ni kujifunza kwa historia ya uhakika alipotokea Mzee huyu mjasiliamali mswahili kwa mujibu wa ESRF (Economic Social Research Foundation) -
Paper : Development of National Entrepreneurship in the East
African Tourism Industry
Timothy Ranja0
Taasisi ya ESRF ipo ya kitongoji kilicho kati ya Morocco/Victoria jijini Dar-es-Salaam, Tanzania: Rungwe oceanic hotels limited
The Rungwe Oceanic Hotels is a tourist and beach hotel specialising in
accommodation, restaurant and sea safaris. The hotel is strategically located along the
tourist attractive beaches of Dar es Salaam, Tanzania.
The hotel was built by Mr. Wilfred Mwakitwange a Tanzanian. Mr. Mwakitwange
was a trained as a teacher/clerk in the colonial times before Tanzania become
independent. Later he trained in cooperative management in Israel.
After the country attained independence, he become heavily involved in cooperative
affairs. He held major posts such as Managing Director of the Tanzania Network
Transport;
which was a public company for upcountry passenger buses. He was also
the secretary of the cooperative union in the country. In the 1960s, he was a member
of the Tourist Board in the 1960s
. He was a founder member of the Tanzania
Confederation of Commerce Industry and Agriculture (TCCIA).

Mr. Mwakitange was also heavily involved in business. He was running a bulk goods
transport and owned several big lorries.
He was also involved in agricultural activities
and supplied food (farm produce) such as chicken and pork to colleges and the army
barracks in Morogoro.
In addition to the hotel, he was also running a carpet
manufacturing business and a 75 acres business.
In 1978
, he decided to exit from the transport business and start the business of his
passion; by building a tourist hotel. The initial capital was between 50-75 million
Tanzanian shillings, which was savings from the transport business and contributions
from a 75 acre farm
. The initial construction was a 20 room building, 50 person
restaurant and 100 people conference hall. Other facilities included five new cars; a
10 seater combi, 3.5 tonne lorry and 3 saloon cars. The number of staff at inception
was 15.
Later on, 20 more cottages each with four self-contained rooms, a water pumping
system and a 2 tonne pick up car were added. The capital for expansion was a 3
million Tanzania shillings loan from the Tanzania Investment Bank
. Despite the
success of the hotel in the eighties, the investment faced difficulties in late nineties.
Currently, the hotel is closed down awaiting a suitable buyer or partner to resuscitate
it.
It is difficult to clearly pinpoint what exactly led to the decline of the business. The
major factor was howeve r a change in the business environment after the
liberalisation of the markets
. Mr. Mwakitange also became actively involved in
politics and started a political party. In the pre-economic liberalization period, there
were no barriers as political influence offered unlimited access to internal markets and
supplies, credit etc. Business outlook was inward and opportunities were readily
available. The major clients were government related functions. The post reform era
however created challenges and competitio n, which the business had not prepared for.
18
There was inadequate/lack of information on available opportunities. There was an
absence of bridging finance to help local business to align business with demands of
rule-based environment
. Major international hotels and even Indian business men with
relatives running tour firms as far as Canada created challenges for entrepreneurs who
had thrived without competition in the pro-reform era.
One can regard Mr. Mwakitange as a dynamic indigenous entrepreneur who took risk
and worked hard to establish the business
. However, like most other indigenous
entrepreneurs he over relied on political patronage and failed to seek ways to make it
competitive in a global world
. Source: http://global.esrftz.org/output/WPS09_Ranja_Tourism.pdf
READ more: about other dynamic indigenous entrepreneurs source: http://global.esrftz.org/output/WPS09_Ranja_Tourism.pdf 2.Joseph 2. Mfugale- Peacock Hotel, Dar es Salaam:;

3.Mr. Duncan Ndanshao: Lions Hotel, Dar es Salaam;
4.Mr. Michael Shirima: Precision Air ;
5. Mr. Willy Chambulo:Kibo Tour Company
 
Huyo Rose nae ana stress zake kutoka kwa baba mtoto wake ,tajiri mmoja wa kinyakyusa mwenye shule ile ya mwanzo kuitwa International pale Sinza Kumekucha.Pia tatizo la mitala watoto wa nyumba kubwa na ndogo,wa nyumba kubwa kujifanya hawawatambui wa nyumba ndogo,ajabu hao akina Rose kwenye familia yao wote ni wasomi tena wasomi wa ukwee na si wa kubabaisha,pia kwa kuwa kia mtu ana maisha yake mazuri hawajali hizo rasmali ni kama kuna kukomoana vile,na wote hao wanandungu wako humu JF wanaweza kujibu kama watapenda
HII maada mumeijadili vizuri.ngoja nami nichangie.tatizo kubwa la kufa kwa baadhi ya biashara za mzee mwakitwange,wilfrem ni migogoro ya familia .kulikuwa na mgogoro mkubwa tu katika familia.so arrangement za kufufua biashara zisingewezekana kutokana na ushirikiano mdogo.
 
Mmiliki alikuwa Marehemu Mzee Mwakitwangwe,Baba yake Rose Mwakitwangwe wa Midahalo ya ITV.Ana Eneo Kubwa sana zaidi ya Ekari 10 kuanzia baharini.

Rose Mwakitwange anakaa Bahari Beach Karibu na Budget Resort,Unaweza ukamtafuta muifufue.

RUNGWE HOTEL GATE.jpg
Mlango Mkuu wa Kuingilia Rungwe Beach Resort.
RUNGWE HOTEL.jpg
Hizo ni Apartments za Kulala Wageni na Watalii mbali mbali Miaka ya 70s
RUNGWE HOTEL1.jpg
Parking ya Mikoko enzi hizo ni Peugeot 504.
RUNGWE HOTEL2.jpg
Mchanga wa beach kwa ajili ya kucheza cheza.Kwa mbali kwenye Ukuta ni Bahari Beach Hotel ya Gadafi(mBEme,waniriz)
RUNGWE HOTEL3.jpg
Kwa Nyuma ni Nyumba za wafanyakazi na Familia ya Mwakitangwe.

Rungwe Imepakana na Silver Sands Hotel,Zote zinapulia Mashine ICU.
Silver Sands.jpg
 
Huyo Rose nae ana stress zake kutoka kwa baba mtoto wake ,tajiri mmoja wa kinyakyusa mwenye shule ile ya mwanzo kuitwa International pale Sinza Kumekucha.Pia tatizo la mitala watoto wa nyumba kubwa na ndogo,wa nyumba kubwa kujifanya hawawatambui wa nyumba ndogo,ajabu hao akina Rose kwenye familia yao wote ni wasomi tena wasomi wa ukwee na si wa kubabaisha,pia kwa kuwa kia mtu ana maisha yake mazuri hawajali hizo rasmali ni kama kuna kukomoana vile,na wote hao wanandungu wako humu JF wanaweza kujibu kama watapenda
mambo ya kifamilia bwana
 
Kwa
HII maada mumeijadili vizuri.ngoja nami nichangie.tatizo kubwa la kufa kwa baadhi ya biashara za mzee mwakitwange,wilfrem ni migogoro ya familia .kulikuwa na mgogoro mkubwa tu katika familia.so arrangement za kufufua biashara zisingewezekana kutokana na ushirikiano mdogo.
ngoja niishie hapo,mengine siwezi toa ni ya familia. pia hawa ni ndugu zangu kabisa nawajua fikra.kwa ufupitu maana wengi hapo juu wameeleza vizuri kabisa
Hiyo wale wakina Aba,Atu na yule Mwingine ambaye alikuwa mwanzo manispaa,baadae akawa sana enzi zile Salamander hotel, na sasa huwa nikija huko mamuona sana pale chagga kwenye mgahawa wa wale wapemba unaosifika kwa biriani, sio watoto wa Marehemu mzee wa Rungwe?
 
Ilikuwa Hoteli ya Wilfrem Mwakitwange. Mwanachama mwanzilishi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture na chama cha siasa cha PONA. Mwakitwange alipofariki dunia aliacha Watoto ambao pengine ndio wenye stori kwa nini Hoteli imekufa. Isije kuwa in kosa katika SUCCESSION PLANNING katika family business. Ukikosea kufanya succession plan vizuri hayo ndo hutokea katika family business. Mtoto wake aliekuwa karibu sana na babake katika masuala ya Biashara anayo/alikuwa na ofisi mlango wa pili kushoto mwa OUTLET ya duka la ICE-CREAM la Bakhresa pale kwenye RoundAbout ya (Ridoch Motors ya Zamani --kwa wale waliokuwepo miaka ya 1970s) ni kwenye ile barabara nadhani inaitwa Ali Hassan ambayo inabeba Hideri Plaza kwa chini ukitokea DTV. Sasa ni next door kutoka Bakhresa ile kwa upande wa kushoto.

This is a very Sad business story indeed, na mimi binafsi nashindwa kuipokea vizuri taarifa hii. Businesses should never be allowed to die vifo vya aina hiyo.
ila ilikuwa habari ya mjini enzi zile, kama hujaenda rungwe enzi ile, hujui starehe ya dar hasa vijana.
 
Huyo Rose nae ana stress zake kutoka kwa baba mtoto wake ,tajiri mmoja wa kinyakyusa mwenye shule ile ya mwanzo kuitwa International pale Sinza Kumekucha.Pia tatizo la mitala watoto wa nyumba kubwa na ndogo,wa nyumba kubwa kujifanya hawawatambui wa nyumba ndogo,ajabu hao akina Rose kwenye familia yao wote ni wasomi tena wasomi wa ukwee na si wa kubabaisha,pia kwa kuwa kia mtu ana maisha yake mazuri hawajali hizo rasmali ni kama kuna kukomoana vile,na wote hao wanandungu wako humu JF wanaweza kujibu kama watapenda
Inaonekana unawafahamu vzr hawa watu...kwa maelezo yako maana yake Mzee Mwakitwange alikuwa na Familia mbili?
 
watu weusi bwana. wahindi babu zao walikuwa wafanyabiashara na hadi leo wajukuu wanafanya biashara. hebu hao wakina rose wajiongeze basi. kwa kuwasaidia waanze kusoma historia ya cargill ili wajue farmilly business zinaendaje.
Mtoto wa kihindi akirudi Shule yuko kwenye Biashara ya Babaake....na Baba anakuwa free kumuelekeza MTT mazingira yote ya Biashara so hata Baba akizima mtt akiwa hajamakiza shule anajua misingi yakuendesha biashara sio Waswahili cc tunaamini ktk watoto kutumia tu!
 
sasa hivi pale rungwe kwenye yale magofu imekua maskani za kulia ndumu, hata mimi nikifika pale hujisikia uchungu kwanini mmiliki wake ametelekeza eneo potential kama lile ni bora wangempa mwekezaji wao wale kodi!
 
HII maada mumeijadili vizuri.ngoja nami nichangie.tatizo kubwa la kufa kwa baadhi ya biashara za mzee mwakitwange,wilfrem ni migogoro ya familia .kulikuwa na mgogoro mkubwa tu katika familia.so arrangement za kufufua biashara zisingewezekana kutokana na ushirikiano mdogo.
ngoja niishie hapo,mengine siwezi toa ni ya familia. pia hawa ni ndugu zangu kabisa nawajua fikra.kwa ufupitu maana wengi hapo juu wameeleza vizuri kabisa
Kiongoz..sidhani kama umesaidia chochote Zaidi yakusema hao jamaa ni ndg zako
 
Ndiyo, humuoni alivyokuwa sharp kama baba yake.!!Mwakitwange alimuendesha sana kifimbo enzi za ubunge wake ; wakiwa pamoja na mbunge toka Iringa Choga!!
'Mzee mwenzangu' umenikumbusha mbali sana...... Choga alikuwa mbunge maarufu sana enzi hizo.
 
Kwa

Hiyo wale wakina Aba,Atu na yule Mwingine ambaye alikuwa mwanzo manispaa,baadae akawa sana enzi zile Salamander hotel, na sasa huwa nikija huko mamuona sana pale chagga kwenye mgahawa wa wale wapemba unaosifika kwa biriani, sio watoto wa Marehemu mzee wa Rungwe?
Ni watoto wa marehemu Patrick mwakitwange wa rungwe
 
Back
Top Bottom