Bigbon
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 600
- 729
Ileje mkuu pia ipo SongweMuongezee pia kuna Ilege niwilaya pia huko mbea
Ileje mkuu pia ipo SongweMuongezee pia kuna Ilege niwilaya pia huko mbea
Mmhhh....unamkumbuka WATENDE?Nimeondoka huko.nilikua sm rujewa.1998.
Hiyo ya kilosa ni Rudewa au Ludewa?Nakumbuka kama ni "Ru"!Kuna Ludewa pia kilosa morogoro