GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 387
- 489
Habari wanajf,
Naomba kueleweshwa inakuaje Tanzania tuombe ruksa ya kutumia maji ya ziwa Victoria ilhali ziwa ni letu?
Misri alishawahi kusema kwa yeyote atakayetumia maji ya ziwa Victoria bila idhini kutoka kwao wako tayari kwa kupigana vita.
Upande wangu kwakweli nimekeleka sana yaani ziwa letu halafu mtu atupangie matumizi eti wametuwekea kiwango cha matumizi kama ziwa ni lao, on my side walipie huduma ya maji ili serikali apate mapato.