Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,378
- 11,152
jamani hata Joyce Mhavile alipiga marufuku wimbo wa Nungayembe usipigwe Radio One yeye akiwa ITV ndio kusema yuko share na mengi?kwa uzinzi na uhuni wa ruge kufukuza watu kazi... ingekuwa ameajiriwa na kusaga nae si angefukuzwa kazi... ila yeye ndio bosss... hakuna wa kumfanya chochote clouds... anafanya anachotaka..
kuna siku alisema hakuna kupiga bongo fleva clouds siku nzima... na haikupigwa kweli
mm ninavyoifahamu Mawingu ikipiga Disco hapa Paradise Dodoma tulijua ni ya Mzee Kusaga aliyeenda kuwa Meneja wa Kiuta Dsm hawa kina Ruge sijui walikuwa wamezaliwa au Primary
Leo katoka Marekaniakakuta biashara za watu ndio kusema akifa na Mawingu unakufa?
kina Amina Chifupa , Mona au JD sijaona urembo wao ila ni kupandishwa chart na vyombo vya habari. kwani hata kina Kusaga au Mengi wanweza kufanya hivyo
Ruge sio mnyonyaji kwani hahusiki na maisha ya mtu anayejibidiisha ila aking'ang'ania kazi za watu ndipo hapo atakapoombwa
km Mawingu na Clouds havihusiani na Kusaga basi sijawaelewa