demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,288
- 15,238
- Thread starter
- #41
Ukiona timu inakimbilia rufaa ujue mpira umewashinda. .
Hahahaha Mkuu!
Naona joto la uwogo limeshaanza kukuvaa baada ya kusoma hii taarifa.
Sasa nani mpira unamshindwa kati yenu Nyinyi mlioomba alama zote za Yanga SC alizomchezesha Kessy zipokonywe.?
au
Sisi tunaotaka alama 3 zitokanazo na kuchezeshwa mchezaji asiyestahili kucheza mechi akiiwakilisha klabu yake?