silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,208
- 1,668
Unaleta habari Kama umebanwa na mkojo, fafanua Kwa kina habari yako ili ivutie kusoma.Kwa mujibu wa mtandao Wa sudantribune.com Rubani kutoka Tanzania ndugu Mohammed Nassor anashikiliwa na waasi kwa kosa la juingia sudan ya kusini bila kibali.
Wanamtuhumu kuwa anashirikiana na serikali. wamesema hawatomuachia mpaka Machar aachiwe.
Tuombe suala hili limalize kwa amani na natumai maofisa wa Tanzania wanashughulikia suali hili.
Mkuu huko unaenda mbali mbona hapo ni kuongea tu mezani issue inaisha.Jeshi la wananchi likiitwa ujue muziki muneneCna shaka because JWTZ will handle this
~Cmb
Unaleta habari Kama umebanwa na mkojo, fafanua Kwa kina habari yako ili ivutie kusoma.
1.Alienda lini huko South Sudan?
2.Ni rubani wa ndege ya aina gani? military plane au passenger plane?
3.Machar anashikiliwa na nani? maana Machar alikuwa North Sudan Khartoum kutibiwa baadae akapelekwa South Africa.
4.Huyo rubani anashikiliwa mji gani huko South Sudan na ilikuwaje hadi wakamshikilia? je, ndege ilianguka au ilikuwaje?
5.Na Kwa nini wamng'ang'anie eti hadi Machar aachiwe, Tanzania inahusikaje?
Fafanua bana, hatutaki habari kitenesi.
Mkuu sio kila kitu lazima kutumia nguvu vingine vinahitaji busara.Cna shaka because JWTZ will handle this
~Cmb
Majibu ya haya maswali yako ulitegemea upewe na mleta habari ? Hayo majibu yanatakiwa yatolewe na serikaliUnaleta habari Kama umebanwa na mkojo, fafanua Kwa kina habari yako ili ivutie kusoma.
1.Alienda lini huko South Sudan?
2.Ni rubani wa ndege ya aina gani? military plane au passenger plane?
3.Machar anashikiliwa na nani? maana Machar alikuwa North Sudan Khartoum kutibiwa baadae akapelekwa South Africa.
4.Huyo rubani anashikiliwa mji gani huko South Sudan na ilikuwaje hadi wakamshikilia? je, ndege ilianguka au ilikuwaje?
5.Na Kwa nini wamng'ang'anie eti hadi Machar aachiwe, Tanzania inahusikaje?
Fafanua bana, hatutaki habari kitenesi.
Worth saying!!!Unaleta habari Kama umebanwa na mkojo, fafanua Kwa kina habari yako ili ivutie kusoma.
1.Alienda lini huko South Sudan?
2.Ni rubani wa ndege ya aina gani? military plane au passenger plane?
3.Machar anashikiliwa na nani? maana Machar alikuwa North Sudan Khartoum kutibiwa baadae akapelekwa South Africa.
4.Huyo rubani anashikiliwa mji gani huko South Sudan na ilikuwaje hadi wakamshikilia? je, ndege ilianguka au ilikuwaje?
5.Na Kwa nini wamng'ang'anie eti hadi Machar aachiwe, Tanzania inahusikaje?
Fafanua bana, hatutaki habari kitenesi.
Diplomats are needed...Cna shaka because JWTZ will handle this
~Cmb
wale makomandoo wetu wanapiga mawe vichwa wametoweka?Si tuwatume km SEAL TEAM 6 wakalete vijana?Au kazi yao ni kupiga matofali vichwa na kuwanywesha watz maji machafu?Kwa mujibu wa mtandao Wa sudantribune.com Rubani kutoka Tanzania ndugu Mohammed Nassor anashikiliwa na waasi kwa kosa la juingia sudan ya kusini bila kibali.