Rubani mdogo Tanzania: Ameajiriwa Canada, hakupita Kidato cha Tano na Sita

Jitathmini think before you write down

Mzee prove that ukitoka form four to chuo your failure.
Also prove ukienda advance unakuwa vizuri kichwani.

Kwasababu mimi naona ni utumbo tu umeandika
Nilishindwa kumalizia ndio wanavyosema
 
Vijana bwana, yaani miaka mitatu tu Canada na Kiswahili kimebadilika! Wasukuma wanakuja Dar wanakaa miaka 20 bado wanasema pi ndogo twente badala ya bi mdogo twende!
Hili ni tatizo letu watanzania. Nadhani ni ulimbukeni. Wewe unazungumzia huyu ambaye amekaa miaka mitatu nje? Sikiliza hawa ma-celebrity wetu usikie wanavyongea na kuweka vi-english vya kuchovya huku wakijifanya kutamka maneno kama wazungu. Utasikia ...... ''amuu, just siwezi ku-cope na.... amuu, boy friend kama yule'' Kichefuchefu! Ukiwaambia wazungumze kiingereza moja kwa moja wanakuwa mabubu.
 
Kuna kaujinga flani kapo humu JF kudharau elimu, nadhani Ni kwa ajili ya kupata uungaji mkono fake.

Ni hivi, mtu unaweza kuwa dereva WA gari tena mzuri bila kuwa na CHETI cha udereva!
Hii inamaanisha cheti Hakina maana?

Likewise, mnavyosema advanced level Haina maana, mnamuwaza Nani hasa? Atakayeenda chuo kikuu au atakayeenda kufuga na kulima?

Kama kufuga na kulima hata form four Haina maana!

Kenya Haina advance lakini wana darasa la nane! Ina maana elimu ya advance imekuwa absorbed kwenye hiyo form yao!
 
Jitathmini kaka umeongea utumbo
 
Hapo kikubwa ni pesa na kitu anachopenda mtu husika.mfano huyu asingekuwa na wazazi wenye pesa asingefanikiwa kusoma hiyo kozi ya kurusha ndege.Nyumbani mkiwa vizuri kiuchumi,ndoto za watoto zitatimizwa bila wasiwasi.
 
Anasema form five na six isinge mjenga kama kwenda chuo

View attachment 3088559
Urubani ni fani ambayo haina uhusiano sana na vidato vya shule.
Ukishajua kusoma na kuandika vizuri na ukawa umefika angalau kidato cha 1 unaweza ukaingia fani hii.
Wenye kidato cha 5 na sita na hata elimu ya vyuo vikuu na pengine akili ya kuwa injinia basi wengi wao hawawezi kuwa marubani wa ndege.
 
Back
Top Bottom