Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 263
- 1,358
Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:
Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.
Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?
INATIA HASIRA SANA!.
Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?