Rose Mayemba ajitosa kuwania Ujumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, nitampigia kampeni

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amejitokeza kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama.

View attachment 3193087

Hakuna asiyefahamu uwezo wa Dada huyu kwenye uongozi, na inashangaza kwanini hadi leo hakuwa Mjumbe wa Kamati Kuu.

Namtakia Kila la heri.

Labda kwa faida ya WanaJF na wengine kote Duniani, ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA ndio nguzo kuu ya Chama, hapa ndipo ulipo msingi wa Maamuzi ya Chama, Wajumbe wa Kamati Kuu ndio wanaobeba Uhai wa Chama, Hii siyo nafasi ndogo.
Huyu angekuwa CCM angekuwa mbali sana
 
Nadhani tumsubiri atakapojinadi
Mkuu, naona ametoa jibu, bado wewe tu
1000018466.jpg
 
Ila CDM ni vyuma safi kwa kweli!
CCM usoni hata kuomba kura picha zao wanaogopa kuzituma mitandaoni
 
Back
Top Bottom