Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,599
- 241,425
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amejitokeza kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama.
Hakuna asiyefahamu uwezo wa Dada huyu kwenye uongozi, na inashangaza kwanini hadi leo hakuwa Mjumbe wa Kamati Kuu.
Namtakia Kila la heri.
Labda kwa faida ya WanaJF na wengine kote Duniani, ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA ndio nguzo kuu ya Chama, hapa ndipo ulipo msingi wa Maamuzi ya Chama, Wajumbe wa Kamati Kuu ndio wanaobeba Uhai wa Chama, Hii siyo nafasi ndogo.