Clemence Baraka
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,694
- 650
Ni kawaida tu. Kilichosumu kwa mwenzio kwa mwingine chakula tu. Kwetu miraa ni sumu. Tukubaliane na hilo.Wakati Kenya wanapewa KS billion moja na Rais wao ku boost zao la miraa, kwetu tunaikamata!