Goldman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 1,930
- 2,400
Yaani hutaki massage ifanyike hotelini au? But tembea uone! Pia hiyo huduma ingine sisi haituhusu kama uliitaka ni private affair yako! Yaani ni kama umefanya biashara na mwanamke biashara ingine ukamtongoza akakukubali baadaye unaenda kupaza sauti kitaa flani nimemtongoza kanikubali! Tembea uone! That's all.