Roman Abramovich Mmiliki wa Klabu ya Chelsea Ahamia Israel na Kupewa Uraia

Huyo ni KGB..waingereza wanasaka mali za urusi wazishike,10%+ ya taasisi za fedha uk inamilikiwa na urusi,sasa wanamuwwkea vikwazo lakini wanashangaa anadunda tu,urusi anatumia watu kama abramovic kutengeneza pesa..wayahudi weusi wanafurahia bure tu humu
ha hahaa
 
Inawezekana, make wenyewe Waomani, sijawasikia kwenye mambo ya kjjilipua lipua na kwenye visa vya ugaidi kwa ujumla.
usitake ":kuniambia kuwa mpaka leo "haujui jinsi ile michezo ya wale Jamaa kujilipua huwa inafanyika vipi "" aiseee...."" waarabu wana roho mbaya kweli " lakini kuhusu swala la kujilipua hiyo ni issue nyingine kabisa ya wakubwa na majasusi wao ""....jinsi wanavyo taka dunia iwe""...
 
Mkiambiwa Jews wameenea idara zote za muhimu duniani hamuelewi. Kila siku Netanyahu kiguu na njia kuonana na Putin ambaye kweny issues za Israel kimyaaa hatii neno bado munakuwa hamuelewi.
Uchunguzi ujao utabaini Putin ni myahudi, subiri maajabu ya Musa!
 
roman.jpg

Alipokuja kupanda mlima Kilimanjaro ila akachemsha
Aliishia mita 4000
 
Nimekuambia hivi waarabu nnawajua zaidi yako, kwahiyo huwezi nidanganya about them. Umenielewa mkuu, au nitumie lugha ya kichina ili unielewe!! sisi waafrika wengi wetu tunaroho mbaya na chafu..tunawachukia mno waarabu tunawapenda wazungu. Ni hayo tu.
Waarabu ni wabaya hata historia inawaelezea. Toka zama za ukoloni, utumwa mpaka leo sijawahi kuwaona waarabu waliostaarabika
 
Kufuatia mgogoro kati ya Uingereza na Urusi tangia jaribio la kutaka kuuwawa kwa kachero wa Kisuri, Sergei Skripal na binti yake Yulia, ambapo Uingereza iliituhumu Urusi kuhisika na jaribio hilo hivyo kuamua kufukuza wanadiplomasia wa nchi hiyo kutoka Uingereza.

Jambo hilo liliwaadhiri raia mbalimbali wa Urusi waishio nchini Uingereza, moja kati ya watu hao ni Mrusi mwenye Asili ya Israeli na Mmiliki wa Klabu ya Kabumbu ya Chelsea ya Uingereza, Roman Abramovich ambae alishindwa kupata viza mpya ya kumwezesha kuendelea kuishi nchini Uingereza.

Kwa sababu hizo ilimlazimu kuomba uraia wa Israeli ambao alikidhi vigezo vya Law of Return na sasa ni raia kamili wa taifa la Israeli.

======

Bilionea wa Urusi ambaye ni mmiliki wa klabu ya soka ya Chelsea ya England Roman Abramovich, amesafiri kwa ndege hadi Tel Aviv baada ya kupata haki ya uraia wa Israel.

Maafisa wa uhamiaji wameiambia BBC kuwa alihojiwa wiki iliyopita kwenye ubalozi wa Israel mjini Moscow. Alikabiliwa na tatizo la kupata upya viza nchini Uingereza katika kinachoonekana kuwa na uhusiano na mzozo wa kidiplomasia kati ya Uingereza na Urusi.

Mzozo huo ulichangiwa zaidi na kupewa sumu kwa jasusi wa zamani na binti wake Sergei na Yulia Skripal.

Msemaji wa Abramovich hakutaka kuzungumza lolote kuhusiana na uraia wake mpya aliopewa katika taifa hilo la Mashariki ya Kati.

Bw Abramovich, mwenye umri wa miaka 51, atakua ndiye mtu tajiri zaidi nchini Israel sasa.

Viza yake ya uwekezaji nchini Uingereza inaripotiwa kuisha muda wake wiki kadhaa zilizopita, lakini serikali ya Uingereza imekataa kutoa kauli yoyote kuhusiana na 'suala lake binafsi'.

Kucheleweshwa kwa utoaji wa viza mpya ya Bw Abramovich kunakuja wakati kukiwa na uhasama wa kiplomasia baina ya serikali za London na Moscow Baada ya kupewa sumu kwa jasusi wa zamani wa Urusi Sergei Skripal kusini mwa Uingereza.

Bwn Abramovich hakuhudhuria fainali za Kombe la FA katika uwanja wa Wembley mapema mwezi huu wakati Chelsea ilipoichapa Manchester United 1-0.

Vyombo vya habari vya Israeli vinasema kuwa tayari amepewa kitambulisho cha uraia nchini Israeli chini ya sheria ya kurudi nyumbani, ambayo inawawezesha wayahudi popote pale walipo duniani kurudi na kuwa raia wa Israel.

Gazeti la The Times nchini Israeli limeandika kuwa Bw Abramovich aliwasili Israeli Jumatatu na kwamba amehamia nchini humo.

_100312852_forbes2017.png

Ni mtu ambaye amekuwa akiitembelea Israeli mara kwa mara na alinunua hoteli mjini Tel Aviv mnamo mwaka 2015 ambayo inasemekana ameigeuza kuwa makazi yake.

Wamiliki wa pasipoti ya Israeli wanaruhusiwa kuingia Uingereza kwa siku chake bila kuwa na visa.

Bw Abramovich ana utajiri wa thamani ya dola bilioni $11.5bn (£8.6bn), kulingana na jarida la Forbes.

Kuhamia kwake Israel kunaweza kumsaidia kifedha kwa sababu kama raia mpya wa Israeli ataweza kuondolewa ushuru unaolipwa na wawekezaji wa kigeni kwa muda wa miaka 10.

_101534405_presentational_grey_line464-nc.png

Roman Abramovich ni nani?
I
_101650518_roman_reuters.jpg

Mr Abramovich (right) has often been spotted at Chelsea's Stamford Bridge ground

  • Ni miongoni mwa watu tajiri zaidi Urusi, aliinunua klabu ya Chelsea FC mwaka 2
  • Inadaiwa aliuza midoli (wanasesere) kabla ya kuwekeza katika mafuta miaka ya 1990 baada ya kusambaratika kwa uliokuwa Muungano wa Usovieti
  • Bw Abramovich alikuwa wakati mmoja mshirika wa kibiashara wa tajiri wa zamani marehemu Boris Berezovky, rafiki wa rais wa zamani wa Urusi Boris Yeltsin
  • Wakosoaji wanasema wafanyabiashara hao wawili walitumia ukaribu wao na ikulu ya Kremlin kujipatia umiliki wa mashirika mengi ya serikali kwa 'bei ya kutupa'
  • Bw Abramovich alihudumu kama gavana wa jimbo la Chukotka, Urusi
  • Anaaminika kuwa na urafiki wa karibu na rais wa sasa wa Urusi Vladimir Putin
Nasikia ni rafiki mkubwa sana na Dr. Shika miaka ile walipokuwa wananunua Makampuni kwa bei chee na ubwetere... Ila Roman ndio hivyo alivyo Tajiri na Dr.Shika amebaki na Itapendeza zaidi! :D:D:D:D
 
Mkiambiwa Jews wameenea idara zote za muhimu duniani hamuelewi. Kila siku Netanyahu kiguu na njia kuonana na Putin ambaye kweny issues za Israel kimyaaa hatii neno bado munakuwa hamuelewi.
Tofautisha Jews na waisraeli..... Kuna watu ni jews by conversion na wengine kwa asili.... Sasa huyu Abramovich unaona kabisa ni mzungu ambao kihistoria walikuwa jews by conversion sio asili ila kuna watu humu mnaconclude ni Musiraeli kwa asili

Ni lini waisraeli wamegeuka wazungu na sio semites/waarabu??
 
Nasikia ni rafiki mkubwa sana na Dr. Shika miaka ile walipokuwa wananunua Makampuni kwa bei chee na ubwetere... Ila Roman ndio hivyo alivyo Tajiri na Dr.Shika amebaki na Itapendeza zaidi! :D:D:D:D
Kweli kabisa, lakini shika viwanda vyake vitafunguliwa tena hapa Bongo si unajua mawe ya dhahabu pamoja na pesa kama tone la kwanza vimewasili.
 
Hao ni by conversion kama ambavyo kuwa wachina ni wayahudi na kuna waafrika wayahudi ila sio WAISRAELI wala hawana damu ya huko wao ni dini tu ya uyahudi so tusichanganye mambo kisa mahaba ya kidini

Zitto Junior, umesoma lakini kuhusu familia ya Abramovich na inakotokea na asili yake?

Pili, umesoma maingizo ya wana JF wote hapa kuhusu Abramovich?

Au unataka kuanzisha tu ubishi uso na maana?
 
Zitto Junior, umesoma lakini kuhusu familia ya Abramovich na inakotokea na asili yake?

Pili, umesoma maingizo ya wana JF wote hapa kuhusu Abramovich?

Au unataka kunzisha tu ubishi uso na maana?
Mkuu from observation tu Abramovich ni Caucasian sio semite na hii ni sababu ya nature ya familia yao ni huko lithuania walipotokea ila walishachangamana na makabila mengine tokea khlmentsky? uprising nafkiri karne ya 16/17 hivyo walishakuwa diluted kuwa caucasians na hata hicho chama cha wayahudi anachoongoza sio JEWS by nature bali wengine ni dini na culture so sibishi kitu ila ni historia niliyosoma ndio inaniambia lithuanian jews walishakuwa diluted so wamebaki jews by conversion sio nature

Get me right
 
Asili ndugu yangu asili.

Kuna makabila hapa duniani piga ua lakini asili hawapotezi.

Tusianze kwenda kwenye Historia maana mimi na wewe nafikiri tumepitia historia kisawasawa.

Lakini si Abramovich tu kuna wengine huko Hungary, Austria, Romania, Poland, Ukraine na kwingine.

Ukitaka kufahamu zaidi angalia historia ya utawala wa waroma na hapo ndiyo utakuta wayahudi walikwishahamia barani Ulaya kabla ya waroma.

Hii inaanzia mwaka 63 BCE na kuna wayahudi waitwao Alexandria ambao nao walitokea Misri na ndiyo waloitwa Ashkenazi.

Hawa Ashkenazi ndiyo uzao wa wayahudi wote waishio barani Ulaya ukiwamo ukoo wa Abramovich na wanachulikuwa kuwa ndiyo Diaspora ya wayahudi walio nje ya Israeli.

Hivyo baada ya utawala wa Roma wayahudi hawa walihamia sehemu mbalimbali kama hizo za Lithuania, Belarus, Latvia, Moldova, Poland na Russia.

Umenipata kidogo hapo au twende taratibu?
 
Mkuu heshima yako...... mie nakuelewa sana na nafahamu ww ni mmoja ya watu makini zaidi hapa JF so sina basis wala hadhi ya kudebate na ww however huenda kuna sehemu tunapishana labda sijajieleza vzuri.....

Kuanzia huko BC mpka AD 700 wanaweza kuwa they are pure jews ila hoja yangu ni kwamba karne ya 16/17 walivurugwa utawala wao pande za Ukraine poland Russia hivyo wakatawanyika sana na kumezwa na makabila mengine ya kirusi kma nords ama slavs n.k

Hivyo nachosema myahudi kaolewa na slav na mtoto kaoa mslav na ikaendelea hivyo hadi miaka 300 iliyofuata Abramovich anazaliwa je bado utamuita muisraeli mkuu???

Hoja yangu iko hapo tu kwenye DILUTION labda nieleweshe hapo ili kma nmepotoka basi nifute kauli maana bado najifunza kutoka kwenu..... Ahsante
 
Ok, sasa elewa kitu hiki.

Wayahudi wote wa Ashkenazi ambao ndiyo walio barani Ulaya pamoja na wale waitwao Sephardic ni Wayahudi ambao mababu na mabibi walitokea Israeli kupitia Misri na kufika barani Ulaya.

Halafu kuna wayahudi ambao sio Ashkenazi na pia wapo wale ambao Ashkenazi walozaliana na watu waso Ashkenazi.

Hawa Ashkenazi ambao Roman Abramovich ni kizazi chake ndiyo wanaohamia Iraeli kwa wingi na wana fedha, utaalam na ueledi mwingi sana.

Kwenye suala la Dilution halipo kwa wayahudi wa Ashkenazi maana hawa hata ukiwaona wengine ni wazungu kabisa ambao wapo Uingereza (Waziri mkuu Thereza May), Italia, Ugiriki na nchi zote za Ulaya ndiyo wana vyombo vya fedha na mifuko iitwayo hedge funds.

Lakini ndani wana DNA ya kiyahudi.

Na Roman Abramovich ni myahudi halisi na anafanya kabbalah tangu akiwa mtoto.
 
Back
Top Bottom