Roma Mkatoliki sasa ni mwalimu wa Hisabati shule ya Msingi Mchikichini

Basi kwa jinsi hiyo inaonekana wale jamaa waliombinya walifanya kazi nzuri..na ninashauri wawafanyie walimu wengine ili warudi darasani.
 
Huyu jamaa wali mfanya nini Yah Rabi.
Mana sio kwa U-Turn hyoooo.
 
Hakuna anayetekwa akarudi akataja waliomteka,majambazi ya siri nzito!ila wanaojiteka wanaeleza yooote ilivyokuwa!
 
Mnaandika vichwa vya habari vilivyo na mvuto kuwanasa wasomaji.


Kutoa msaada ndio kunafanya arudi katika kazi ya ualimu...?

Waandishi wa Tanzania jaribuni kutuliza bongo zenu.
 
Back
Top Bottom