Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,465
- 20,820
Itamuweka Lissu uchi na kuwasafisha akina Werema na Chenge, si ndio? Sasa hivi tutaanza kuwasifia wale waliotufikisha kwenye tatizo in the first place na kucondemn wale wanaoshauri njia bora zaidi za kufuata ili tufike kule sote tunapotaka kwenda. Tumekuwa watu wa kushabikia matukio tu.