Ripoti ya Pentagon 2020 kwenye Bunge la Marekani: Uchina ina jeshi kubwa la maji kuliko Marekani, Tanzania yatajwa

Why China is a developed country?

Compared to developed countries, China enjoys large-scale manufacturing industries and high trade volume, but many domestic industries still land at the low end of the global industrial chain. It exports mainly low-value-added goods and has to import high-value-added products and advanced technologies

Km ndio hivi mchina bado sana labda ipite miaka 100.
 
Mchina anafanya kila kitu low hadi high grade hachagui.....na kitu anachojali ni mzunguko wa biashara wewe una bidhaa ghali bei 1000 kwa mwaka unauza 5 tu yeye anatengeneza kifaa hikohiko quality anapunguza kidogo au inakua kati anauza kwa 500 mwisho wa mwaka yeye kauza 15 wewe utabaki tu na promo za high quality yeye kapiga hela
 
Huo utafiti na hiyo ripoti vimefanywa na Marekani wenyewe, unadhani baada ya kugundua hayo watakaa nayo tu bila kuifanyia kazi? Unadhani wao wenyewe hawajifanyii assessment ili ku improve?
Pamoja na yote, bado dunia inaitegemea sana Marekani ili kujua ukweli kuhusu yanayoendelea duniani. Maana wamewwkeza katika kuutafuta na kuujua ukweli hata uwe mzuri au mbaya kwao, mchungu au mtamu.
Unadhani taarifa hizi ungeweza kuzijua kupitia China?
Marekani wanaweza kuwa kinara wa dunia,lakini hawawezi kuwa kinara miongo yote
 
Usicheze na mchina aisee,,,wale wanafyatua manowari za kijeshi utadhani wanadurufu(kupiga photocopy),hata aircraft carrier kwasasa wanaelekea kuwa nazo 3,
Mfumo wa china wa globo positioning ndio bora kabisa duniani,hivyo kuyafanya makombora yao yawe na guidance ya kuaminika,yaani wakilenga kitu wakikikosa yaani ni kwa centimeter 10,hivyo makombora yao yatakua high precision...
Pengine ndio lilitumika kutungua ile kiungo ya Marekani pale Iran adi leo sijweza juwa ile shabaha ni ya aina gani pale pia ilipo tumika kutoboa pipe za mabomba pale Saudia Arabia🤔
 
Kwa lugha nyepesi na ya mtaani Mchina amesha chomoka kwenye chupa!
Hakuna wa kumzuia faida ni kubwa zaidi kwetu kuwa naye kuliko hasara!
Maana Marekani hana miaka mingi ata chutama!
Faida gani utapata bwana fundi?
 
Na unadhani hizo taarifa walizopata wamarekani ndo wameijua China kikamilifu? Mchina bado msiri sana kuna vitu Mmarekani hata afurukute vipi hawezi akavijua labda hadi wakizichapa
Ila Mmarekani kila kitu kiko wazi?
 
Kwa lugha nyepesi na ya mtaani Mchina amesha chomoka kwenye chupa!
Hakuna wa kumzuia faida ni kubwa zaidi kwetu kuwa naye kuliko hasara!
Maana Marekani hana miaka mingi ata chutama!
China inakua kwa kasi sana kusema kweli...
 
Huo utafiti na hiyo ripoti vimefanywa na Marekani wenyewe, unadhani baada ya kugundua hayo watakaa nayo tu bila kuifanyia kazi? Unadhani wao wenyewe hawajifanyii assessment ili ku improve?
Pamoja na yote, bado dunia inaitegemea sana Marekani ili kujua ukweli kuhusu yanayoendelea duniani. Maana wamewwkeza katika kuutafuta na kuujua ukweli hata uwe mzuri au mbaya kwao, mchungu au mtamu.
Unadhani taarifa hizi ungeweza kuzijua kupitia China?
Kama walivyong'amua ukweli kuwa Saddam Hussein ana mabomu ya Nuclear kumbe ni ripoti ya uongo na wanajua kuwa ni uongo ili mradi tu watimizie uongo wao.
Kama walivyosaidia kupindua serikali halali ya Chile na kumweka madarakani dictator Pinochet aliyeua na kutesa watu wengi.
Kama walivyoandaa mauaji ya Patrice Lumumba.
Aisee naunga amkono hoja Waamerika ni wa kweli sana kwa wamatumbi....
 
Mkuu hawa viumbe ni hatari me ndio watu ninao waogopa zaidi Duniani wana juwa mahesabu hatari!
Hawa watu mimi hofu yangu ni kwamba ni wanyonyaji sana sijui wakiitawala dunia itakuwaje. Wajua wa dunia ya sasa wazungu wanakula na kupuliza, watakuibia rasimali mfano kupitia migodi ila wanaofanya kazi pale watakuwa wanalipwa vizuri. Lakini Mchina anakuibia na wanaomfanyia kazi anawalipa misahara ya kidwanzi.
Mchina hali na kupuliza anakula chote na ukileta ujuaji anabeba na sahani.
Ila kwa jinsi mambo yalivyo hakuna wa kumzuia sasa, hata waweke vikwazo vingapi washachelewa maana kwasasa ana technology ana uchumi ana influence. Anafanya kila kitu, si ajabu baada ya miaka mitatu ukashangaa mchina anatengeneza processors na socs zenye ubora na nguvu na kwa bei rahisi sana.
 
Nina kubaliana na wewe 100% lazima tuwe na hofu nao maana wana kula kila kitu!
Ila juwa tu kila jambo la kutisha sio la kweli pengine limetengenezwa Ili kuchelewesha kujuwa jambo Fulani!
Rejea wazee wetu wali tudanganya mengi na tukawa na hofu sana!
 
Faida gani utapata bwana fundi?
Wachina wana faida sana,,unaziona zile taa za barabarani za sola?,huyo ni mchina,kuna pikipiki sikuhizi humu mtaani za kucharge kama simu halafu bei chee,laki nane tu,
Kuna magari SUV bei rahisi,unaicharge tu kwenye umeme,unachapa mwendo...
 
Back
Top Bottom