BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
363
433
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya Msata ambapo Serikali ya Rais Samia imetoa milioni 280 kujenga madarasa hayo.

Lakini pia katika ziara hiyo hasa kwa kuzingatia kipindi hiki cha kuelekea kufunguliwa kwa shule, Ridhiwani amegawa vifaa vya masomo kama madaftari, peni n.k kwa wanafunzi ili waweze kutumia mashuleni.

"Serikali imeendelea kuleta pesa za maendeleo katika halmashauri yetu ya Chalinze. Huduma za Afya, Elimu, Miundombinu ya Barabara n.k na Kazi Inaendelea Chalinze." Alisema Ridhiwani Kikwete.

FB_IMG_1673035347442.jpg
FB_IMG_1673035331689.jpg
FB_IMG_1673035317237.jpg
FB_IMG_1673035302717.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1673035341579.jpg
    FB_IMG_1673035341579.jpg
    116.1 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1673035335535.jpg
    FB_IMG_1673035335535.jpg
    111.8 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1673035327044.jpg
    FB_IMG_1673035327044.jpg
    98.8 KB · Views: 7
  • FB_IMG_1673035321333.jpg
    FB_IMG_1673035321333.jpg
    80.4 KB · Views: 9
  • FB_IMG_1673035297712.jpg
    FB_IMG_1673035297712.jpg
    98.3 KB · Views: 7
MADARASA YA RAIS SAMIA YAMEKUWA MUAROBAINI KWA WANAFUNZI - HALMASHAURI YA CHALINZE

MIUNDOMBINU YA ELIMU (MADARASA) - HALMASHAURI YA CHALINZE.

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa fedha shilingi Tsh. 1.2 Bilioni kwa Halmashauri ya Chalinze kwa ajili ya Ujenzi wa vyumba vya Madarasa 60.

"Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Imekamilisha ujenzi wa Madarasa 60 yaliyogharimu kiasi cha shilingi bilioni 1.2, Fedha hizi zimetolewa na Serikali ya Rais Samia kujenga madarasa na kununua madawati ili kuhakikisha wanafunzi wote waliofaulu wanapata nafasi ya kujiunga na shule 2023" Amesema Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. Ridhiwani Kikwete.

Pichani Ndugu. Ridhiwani Kikwete, Mbunge na Naibu Waziri wa Ardhi akiangalia vyumba hivyo katika shule ya Sekondari ya Msata na Chahua, wakati wa ziara yake Jimboni hapo.
index2.jpg
index.jpg
indexsde.jpg

#CCMImetimia
#ChamaImara
#KaziIendelee
 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya Msata ambapo Serikali ya Rais Samia imetoa milioni 280 kujenga madarasa hayo.

Lakini pia katika ziara hiyo hasa kwa kuzingatia kipindi hiki cha kuelekea kufunguliwa kwa shule, Ridhiwani amegawa vifaa vya masomo kama madaftari, peni n.k kwa wanafunzi ili waweze kutumia mashuleni.

"Serikali imeendelea kuleta pesa za maendeleo katika halmashauri yetu ya Chalinze. Huduma za Afya, Elimu, Miundombinu ya Barabara n.k na Kazi Inaendelea Chalinze." Alisema Ridhiwani Kikwete.

View attachment 2471687View attachment 2471690View attachment 2471694View attachment 2471695
CDM msiposimamisha wagombea makini Jimbo la Chalinze nitaamini ni Hujuma Kwa wananchi.
 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya Msata ambapo Serikali ya Rais Samia imetoa milioni 280 kujenga madarasa hayo.

Lakini pia katika ziara hiyo hasa kwa kuzingatia kipindi hiki cha kuelekea kufunguliwa kwa shule, Ridhiwani amegawa vifaa vya masomo kama madaftari, peni n.k kwa wanafunzi ili waweze kutumia mashuleni.

"Serikali imeendelea kuleta pesa za maendeleo katika halmashauri yetu ya Chalinze. Huduma za Afya, Elimu, Miundombinu ya Barabara n.k na Kazi Inaendelea Chalinze." Alisema Ridhiwani Kikwete.

View attachment 2471687View attachment 2471690View attachment 2471694View attachment 2471695
UFISADI WA KUTISHA TAMISEMI.... USIMTOE

HATUTAKI KUFA TUTAMPATAJE!? MCHEZO TUNAUPENDA LAANA ZA KUJIAJIRI WAPO 2 KAMA MILIONI 677... TUTAMPATAJE TUMUANDAE (Katiba Mpya Inaitwaje kwa KABILA LAKO MAANA LABDA IPO SIKU WATU WAKO NDIO WANATAKIWA WAELEWE)

Attachments

  • New Microsoft Word Document (2).pdf
    470.7 KB · Views: 2
  • New Microsoft Word Document6.docx
    1.6 MB · Views: 2
  • New Microsoft Word Document (1) (1).docx
    563.3 KB · Views: 3
Hakuna watu wajinga na wavivu kama wakwere.

Barabara ya msoga ni mbovu kupindukia, viraka kila kona na vinarepewa kila siku. Hospital ya msoga kupata huduma pale unaweza kwenda asubuhi kupima malaria kuja kupata huduma ni jioni.

Hakuna halmashauri yenye migodi mingi ya kokoto kama chalinze, kila Lori linalotoka huko helipad ushuru si chini ya 60,000 kila tripu ila barabara zake ni mbovu kupindukia

Hakuna vijiji vilivyokuwa na watu wasikini na dormant kama vya chalinze kuanzia mboga, mavi ya ngombe, lugoba, makombe nk. Ila mbunge huyu akija wakipewa tu sukari, unga wanasahau kila kitu. Wao wapo tayari kuuza hata shamba wawacheze watoto wao vigodoro.

Jakaya alikuwa prezda ila ukienda msoga utashangaa, wananchi wa pale wanategemea kuuza tu maembe kwenye daladala, hakufanya chochote msoga.

Kimsingi wakwere ni mzigo wa taifa
 
Back
Top Bottom