Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,129
- 3,817
ligi ina watu 1000 plus unakosa umbea 5 times a week, tena mwisho wa msimu, kazi imemshinda huyuLabda anakuwa hana content kwa hizo weeks anazokuwa yupo offline. Umbea nao unaishaga mzee baba
It’s creativity going to waste . Mimi if I had connection in football. This could take me furtherNi wivu tu
Kazi ni kipimo cha utu
Starting ndo ngumu , ila i know he is in too deep . Ni mpira huu . Sio personal life , I doubt , he pays to much .Za ndanii is not easy to comeby mkuu,fikiria mange hadi anatangaza dau ila watu wanatema bungo.
Ricaco ataji team , so he is safe .Kumbuka pia kwa sasa kuna sheria za mambo ya faragha , kwa sasa huwezi kusikia chochote tu ukaanza kupeleka kwenye media au mitandaoni hasa kama unafanya mambo yako kiprofeshinooo ukibugi kidogo unaweza ukawa chanzo cha mapato cha watu wengine
Hii segment ilikuwepo pale efm inaitwa chakuchabo before wasafi fm ila ilikuja kufa kiajabuajabu tu.....I am a fan of Ricardo momo's 'zandaniii' sema jamaa yupo very inconsistent. He won't be available for weeks, sometimes months of radio sessions...
Efm wengi awana shule , amna Mtu aliye na eLimu anaWazingatiaHii segment ilikuwepo pale efm inaitwa chakuchabo before wasafi fm ila ilikuja kufa kiajabuajabu tu.....
Namkubali sana huyu mwambaView attachment 2997100
Ricardo Momo
I am a fan of Ricardo momo's 'zandaniii' sema jamaa yupo very inconsistent. He won't be available for weeks, sometimes months of radio sessions.
Sadly, he could simply operate his sessions via phone calls hata akiwa nje ya inchi.
There's alot of money in ads, wasafi isn't capturing.
So far, the best sports concept comes from inconsistent workers, its just shameful.
Shida ajira za ushikaji ushikaji! hiyo radio hawako serious kusaga kuwekeza na mabishoo nayo challenge, juzi kati wamepigwa hela za matangazo na majamaa wa markerting karibu M700 sasa huyo rikado ni journalist? Kwahiyo hajui thamani ya msikilizaji kukosa ulichokwisha mzoesha!😀ligi ina watu 1000 plus unakosa umbea 5 times a week, tena mwisho wa msimu, kazi imemshinda huyu
Washikaji wana funds. Kusaga ata fail crowns media , wasafi kunaShida ajira za ushikaji ushikaji! hiyo radio hawako serious kusaga kuwekeza na mabishoo nayo challenge, juzi kati wamepigwa hela za matangazo na majamaa wa markerting karibu M700 sasa huyo rikado ni journalist? Kwahiyo hajui thamani ya msikilizaji kukosa ulichokwisha mzoesha!😀
aisee Eti Ana resignNamuona akiwa amebebeshwa mibegi na simba la masimba akisafiri
Ishu ni je kitaaluma ni nani? Hili jambo ni kubwa sana kwenye hii nchi makanjanja wameharibu sana mainstream media sheria haisimamiwi kwakuwa wizara nayo inawatu wamichongo michongo tu ilitoa muda wa kusoma diploma hadi leo hawakagui!Washikaji wana funds. Kusaga ata fail crowns media , wasafi kuna
Freedom kubwa sana , Also ricardo ni boss pale wasafi fm and tv . I think Diamond platinumz Ana trust watu wa stay professional . That’s why .