Ricardo Momo ana kipindi kizuri sema mvivu sana. Mtangazaji mwingine akopi kazi zake

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
2,129
3,817
1716416066878.png

Ricardo Momo

I am a fan of Ricardo momo's 'zandaniii' sema jamaa yupo very inconsistent. He won't be available for weeks, sometimes months of radio sessions.

Sadly, he could simply operate his sessions via phone calls hata akiwa nje ya inchi.

There's alot of money in ads, wasafi isn't capturing.

So far, the best sports concept comes from inconsistent workers, its just shameful.
 
Kumbuka pia kwa sasa kuna sheria za mambo ya faragha , kwa sasa huwezi kusikia chochote tu ukaanza kupeleka kwenye media au mitandaoni hasa kama unafanya mambo yako kiprofeshinooo ukibugi kidogo unaweza ukawa chanzo cha mapato cha watu wengine
 
Ricaco ataji team , so he is safe .
 
I am a fan of Ricardo momo's 'zandaniii' sema jamaa yupo very inconsistent. He won't be available for weeks, sometimes months of radio sessions...
Hii segment ilikuwepo pale efm inaitwa chakuchabo before wasafi fm ila ilikuja kufa kiajabuajabu tu.....
 
View attachment 2997100
Ricardo Momo

I am a fan of Ricardo momo's 'zandaniii' sema jamaa yupo very inconsistent. He won't be available for weeks, sometimes months of radio sessions.

Sadly, he could simply operate his sessions via phone calls hata akiwa nje ya inchi.

There's alot of money in ads, wasafi isn't capturing.

So far, the best sports concept comes from inconsistent workers, its just shameful.
Namkubali sana huyu mwamba
 
ligi ina watu 1000 plus unakosa umbea 5 times a week, tena mwisho wa msimu, kazi imemshinda huyu
Shida ajira za ushikaji ushikaji! hiyo radio hawako serious kusaga kuwekeza na mabishoo nayo challenge, juzi kati wamepigwa hela za matangazo na majamaa wa markerting karibu M700 sasa huyo rikado ni journalist? Kwahiyo hajui thamani ya msikilizaji kukosa ulichokwisha mzoesha!😀
 
Washikaji wana funds. Kusaga ata fail crowns media , wasafi kuna
Freedom kubwa sana , Also ricardo ni boss pale wasafi fm and tv . I think Diamond platinumz Ana trust watu wa stay professional . That’s why .
 
Ishu ni je kitaaluma ni nani? Hili jambo ni kubwa sana kwenye hii nchi makanjanja wameharibu sana mainstream media sheria haisimamiwi kwakuwa wizara nayo inawatu wamichongo michongo tu ilitoa muda wa kusoma diploma hadi leo hawakagui!
 
Back
Top Bottom