TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Na hakika mkuu, ukuaji wa Technology na hizi platform miaka ya nyuma ilikuwa changamoto sana , hata gharama ilikuwa juu.. internet.. hizo smartphone, ipad na laptop ukilinganisha na sasa hivi.. huwezi linganisha mazingira ya 2004 na 2013.. kuna shift kubwa sana
Elimu ya secondary O level umemaliza mwaka Gani?
 
Mkuu saint anne unajuaga kwa hili unanifanya nicheke sana.
Mkuu maghayo nje ya mada naomba kuuliza hivi unapokua unataka kwenda nje ya nchi je inawezekana mwenyeji wako kule ulaya akakuombea yeye visa? Kwa maana akafanya process zote yeye mwenyewe kule kule badala ya ww kuomba huku. Nikilenga kwamba akiomba yeye kulekule inakua rahis kuliko akituma mwaliko kufuatilia ubalozi wa nchi husika huku bongo
 
Back
Top Bottom