Reli ya SGR ya Kenya kuwa ya umeme ndani ya miaka 4

Kweli nyerere alijenga chuki kwa nafsi ya wtz. Yaani habari haziwahusu lakini wamo tu! huyu ulole yeye hubishana just for thrills. TAZARA yenyewe iliwashinda kisha yuaja ku-comment on SGR?
 
Kweli nyerere alijenga chuki kwa nafsi ya wtz. Yaani habari haziwahusu lakini wamo tu! huyu ulole yeye hubishana just for thrills. TAZARA yenyewe iliwashinda kisha yuaja ku-comment on SGR?
Umejiaibisha kweli mkuu, hasa kwa sentensi yako ya Mwisho
Kwaiyo hutaki tujenge SGR kwa sababu TAZARA imetushinda?
Halafu huna data unaanika ujinga wako hapa.
Ona Vile tunapiga hela kupitia TAZARA

http://www.tanzaniainvest.com/transport/tazara-profit-2015-2016

IMG_20170326_073502_204.JPG
 
Hatimaye ujenzi wa SGR ya umeme Tanzania umekaribia kuanza. Maandalizi ya uwekaji wa jiwe la msingi yamekamilika na ujenzi kuanza wakati wowote kuanzia sasa. Pichani ni eneo la Pugu, Dar es Salaam.

C7x2tpOW0AEFjSh.jpg
And this is very relevant to this thread.
 
Congrats tz. Your sgr is finally seeing the light of day.
Point of correction NOT just any other SGR but an electrical SGR! Plse Note n respect that...I will be so happy if in exception of UK all other EA Presidents will be invited. Mind u his SGR launch at Mombasa Kikwete was snubbed under the pretext the project was for Northern corridor members only!
 
Point of correction NOT just any other SGR but electrical SGR! Plse Note n respect that...I will be so happy if in exception of UK all other EA Presidents will be invited. Mind u his SGR launch at Mombasa Kikwete was snubbed under the pretext the project was for Northern corridor members only!
Actually UK is very busy trying to get reelected. He might just send amb Amina
 
Hatimaye ujenzi wa SGR ya umeme Tanzania umekaribia kuanza. Maandalizi ya uwekaji wa jiwe la msingi yamekamilika na ujenzi kuanza wakati wowote kuanzia sasa. Pichani ni eneo la Pugu, Dar es Salaam.

C7x2tpOW0AEFjSh.jpg
Bagamoyo all over again
 
m
Hatimaye ujenzi wa SGR ya umeme Tanzania umekaribia kuanza. Maandalizi ya uwekaji wa jiwe la msingi yamekamilika na ujenzi kuanza wakati wowote kuanzia sasa. Pichani ni eneo la Pugu, Dar es Salaam.

C7x2tpOW0AEFjSh.jpg
mkuu,maandalizi aina gani jamani, bagamoyo 2 ndio hiyo
 
SGR happy? Najua roho inakuuma kuona tunawafundisha value of money. It's obviously huo mradi wenu utadoda maana mpo short changed. .
Hapana, me nawatakia mazuri, jengeni reli maanake mpango upo kuunganisha reli zote za EA. You are the one filled with anger.
 
Bagamoyo all over again

Wewe jipe moyo tu, mradi wa tram Nairobi uliishia wapi?

Nairobi to get first light train in June - Uhuru
Feb. 19, 2016, 6:00 pm
By PSCU

An ambitious $150 million (Sh15 billion) urban passenger train connecting Nairobi suburbs to the city centre is set to be launched by June.

The project, co-financed by Kenya and Hungary, will ease traffic congestion in the city besides transferring technology to Kenyans.

President Uhuru Kenyatta welcomed the city tram project on Friday saying " development-conscious Kenyan would oppose such a programme".

He spoke on Friday during talks with Hungary Ambassador to Kenya Eduard Laszlo Mathe, who had paid him a courtesy call at State House, Nairobi.

The President said phase one of the project will connect the Standard Gauge Railway end point in Nairobi to the railway station in the city centre.

Other branches will connect the suburbs with the station. The proposed branches of the train project will include Thika Road, Ngong Road, Ongata Rongai and Limuru Road, all connecting to the city centre

The President directed the Transport ministry to ensure the project is completed on schedule.


He explained that Hungarian engineers will train their Kenyan counterparts to make materials and transfer the skills to manage the project.

The Hungarian ambassador said the proposed tram service will transform the way people in the capital city get to work.

“It is expected to transport about 300,000 passengers a day and even more when all the branches are fully operational,” he said.

“In line with Hungary’s new foreign policy for Africa to reinforce economic relations, we will train and equip Kenyans with skills to develop the project and own it. This project will be made in Kenya,."

Nairobi to get first light train in June - Uhuru

The envoy disclosed that his country has implemented a similar project in Addis Ababa, Ethiopia.

On education, the ambassador pointed out that his country will provide Kenya with 50 postgraduate scholarships.

Transport Cabinet Secretary James Macharia and senior officials of the ministry were at the meeting.
 
Back
Top Bottom