thanks Teamo... ujumbe umefikahamna ninaemuelewa kwenye hii post....!
kuanzia ACID mpaka THE LAST BUT NOT LEAST POSTER wote naona mnafanya maisha magumu
1)-wengi wenu naona mnavikimbia vivuli vyenu
2)-kakaangu acid naona UNAZEEKA SASA,bora uhame tu urudi kwenu maswa
ANAEAMINI KWAMBA HAFANYI INFIDELITY (hapo juu) AKIRI WAZI WAZI KWENYE HII MADA!......
infidelity ni ''ukweli unaohuzunisha''
thanks Teamo... ujumbe umefika
niliyosema ni kwamba kuelimisha zaidi na si kusifia, tukimaliza infii tutahamia kubaka, tukimaliza kubaka tutasifia tunavyoibia mwajiri nk. yote hayo hufanyika ni mawazo yangu
mimi si msafi na sidhani kama ntakamilika, nimeamua tu kumfunga paka kengele
Maswa kweli ntarudi na hapa ntakua natembelea na infii ntasoma, ila cha maana ni kukubali kwamba tuna mawazo tofauti na kusema ondoka si sahihi
amen
hahaha homeboy bana naona umekuja na moto uleule! kwa kweli hata mie kwenye hii ishu ya infidelity mi sidhani kama tuna glorify bali ni kutoa mbinu mbadala ili maisha yaende!!hamna ninaemuelewa kwenye hii post....!
kuanzia ACID mpaka THE LAST BUT NOT LEAST POSTER wote naona mnafanya maisha magumu
1)-wengi wenu naona mnavikimbia vivuli vyenu
2)-kakaangu acid naona UNAZEEKA SASA,bora uhame tu urudi kwenu maswa
ANAEAMINI KWAMBA HAFANYI INFIDELITY (hapo juu) AKIRI WAZI WAZI KWENYE HII MADA!......
infidelity ni ''ukweli unaohuzunisha''
hamna ninaemuelewa kwenye hii post....!
kuanzia ACID mpaka THE LAST BUT NOT LEAST POSTER wote naona mnafanya maisha magumu
1)-wengi wenu naona mnavikimbia vivuli vyenu
2)-kakaangu acid naona UNAZEEKA SASA,bora uhame tu urudi kwenu maswa
ANAEAMINI KWAMBA HAFANYI INFIDELITY (hapo juu) AKIRI WAZI WAZI KWENYE HII MADA!......
infidelity ni ''ukweli unaohuzunisha''
kwa hiyo kama unakomply na hiyo namba 3 ?Teamo na wengine,
Naomba kusema kuwa hapa hatuzungumzii ukamilifu wa mtu wala hatutaki kuhukumu kwa maana kama Mungu angehesabu makosa yetu hakuna hata mmoja angesimama!
Baada ya kusema hayo, napenda kuongezea kwamba, saikolojia ya binadamu iko namna ya ajabu sana na kwa wale wenye kujua kuhusu " JOHARI WINDOW" wanajua kuna mambo manne katika personality ya mtu -1. YALIYO BAYANA - haya ni yale ambayo wewe mhusika na walio karibu nawe wanayajua mfano jina lako, na yale unayoyaonyesha wazi kwa wengine.2.YASIYO WAZI KWAKO ( BLIND) haya ni yale ambayo wengine wanayoyajua kukuhusu lakini wewe huyajui!Mfano, body language yako wakati unaongea wewe huioni lakini wengine wanaiona kwa urahisi. 3.VILIVYOJIFICHA ( HIDDEN) hivi ni vile vitu ambavyo nyie wengine wote hamvijui kunihusu unless nikuamini sana niamue kukuambia.4. VISIVYOJULIKA ( UNKNOWN) hivi ni vitu ambavyo hata mimi sivijui japo vinanihusu na hata wewe au mtu mwingine havijui.
Kwenye 1. YALIYO BAYANA - Tunaweza kupanua wigo wake kama tunataka wengine wajue zaidi kutuhusu. Je MMU ina lenga nini katika haya? na je kama lengo ni kupanua 1. hapa ni mahali pake? bora tubakie kwenye 3. its safe that way maana hiyo trust among members sidhani ipo kivile na kama unataka ku hama from 3 to 1 ujue you are doing so at your own risk maana huyo/hao utakaowaaminisha watakuliza siku moja!
Nimeongea kisaikolojia zaidi lakini naamini wengi hapa ni waelewa.
hamna ninaemuelewa kwenye hii post....!
kuanzia ACID mpaka THE LAST BUT NOT LEAST POSTER wote naona mnafanya maisha magumu
1)-wengi wenu naona mnavikimbia vivuli vyenu
2)-kakaangu acid naona UNAZEEKA SASA,bora uhame tu urudi kwenu maswa
ANAEAMINI KWAMBA HAFANYI INFIDELITY (hapo juu) AKIRI WAZI WAZI KWENYE HII MADA!......
infidelity ni ''ukweli unaohuzunisha''
kwa hiyo kama unakomply na hiyo namba 3 ?
NOBODY GLORIFIES IT!that is the other way of potraying the AWARENESS!sasa akili kichwani mwako....Hapo kwenye bold,unfortunately you are right.
Lakini is it right for us to glorify infidelity?
which rules are we ordered to comply herewith....?StIck with it and comply with JF rules... huhitaji kumwaga mtama mbele ya kuku wengi hadharani. Keep it to yourself au hamia jukwaa la mambo ya kikubwa! Thats the point im trying to drive home kuunga mkono hoja ya ACID.
Mkuu uko sahihi kabisa, ila nilicholeta ni mfano tena wa tafsida haswaa, kwani mengine huishia kuripoti kwa mods kuhamisha ndugu yangu
Nani atasahau ya fidel na Masa na mambo ya zenji? lakini yalikua na tafsida yake ati, raha tupu... mie langu hapa ni angalizo tu kwani hata mimi hutoa hayohayo
Huwezi uza utumbo ati weye usinuke, mie pia muuza utumbo na addicted kweli ndani ya MMU, nafanya hayohayo...
THANKS BUDDY
ha ha ha!.....We dogo unataka kuhamishwa meza?
Ahsante sana Acid,
Ni kweli kuna vitu vingine vinaongelewa hapa na havina tija. Vitu vingi vya namna hiyo navichukulia kama mzaha...and my life goes on happly!
Binafsi naamini kuwa JF ni uwanja wenye kila aina ya binadamu na hatuwezi kamwe kuishi kama tuko kwenye msiba na pia hatuwezi kuwa kama tuko kwenye party kila siku. Huwa najipa nafasi ya kuamua nini nisome na kuchangia kwa raha zangu ili mradi nisiwakwaze wengine!
Bado sijaona tatizo kuubwa sana hapa MMU ambalo linalohitaji kongamano la kitaifa kulijadili. Na hayo mambo madogo madogo huwa tunaelekezana mumo kwa mumo. Napenda sana kukubali kwamba watu tunatofautiana sana, kiasi kwamba chakula cha mtu fulani inaweza kuwa kwangu ni sumu!
DC
NOBODY GLORIFIES IT!that is the other way of potraying the AWARENESS!sasa akili kichwani mwako....
HALAFU MWANA MAMA SAMAHANI KIDOGO,INAKUWAJE KWAMBA THE BOLDED FACT IS DAMN RIGHT,YOU PEOPLE ARE DOING IT BUT YOU DON'T WANT TO HEAR IT.....WHAT'S THE USE?
Ndugu,which rules are we ordered to comply herewith....?
Kwa nini mtu uogope KUIDISCUSS PUBLIC?Infidelity inafanyika sana tu na kila anayeshiriki anajua kuwa sio kitendo sahihi na ndio maana zipo hadi rules za kuavoid kushikwa.
Kwa nini mtu uogope kushikwa? Its because you are doing the wrong thing. Infidelity has never been a blessed act na ndio maana sio proper to discuss it publicly.
bado sijaona rule inayozungumzia ulichokiandika!mbado kabisa onaNdugu,
1. Nobody is ordering anybody - its just a social influence or persuasion if u want.
2. JF on the other hand ina rules zake na nadhani Silencer ( one of the moderators) katika kuzungumzia exactly the same issue kama hii ya Acid alinukuu tena hizi kanuni.You might wish to look for the thread maana niko tight kidogo ningekutafutia. You can look at threads initiated by Silencer utaona.