TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 27,663
- 14,996
- Thread starter
- #21
thanks Teamo... ujumbe umefikahamna ninaemuelewa kwenye hii post....!
kuanzia ACID mpaka THE LAST BUT NOT LEAST POSTER wote naona mnafanya maisha magumu
1)-wengi wenu naona mnavikimbia vivuli vyenu
2)-kakaangu acid naona UNAZEEKA SASA,bora uhame tu urudi kwenu maswa
ANAEAMINI KWAMBA HAFANYI INFIDELITY (hapo juu) AKIRI WAZI WAZI KWENYE HII MADA!......
infidelity ni ''ukweli unaohuzunisha''
niliyosema ni kwamba kuelimisha zaidi na si kusifia, tukimaliza infii tutahamia kubaka, tukimaliza kubaka tutasifia tunavyoibia mwajiri nk. yote hayo hufanyika ni mawazo yangu
mimi si msafi na sidhani kama ntakamilika, nimeamua tu kumfunga paka kengele
Maswa kweli ntarudi na hapa ntakua natembelea na infii ntasoma, ila cha maana ni kukubali kwamba tuna mawazo tofauti na kusema ondoka si sahihi
amen