PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,352
safi saaaanaNo way brother, this is Tanzania......take a look on the comments above......ndo utajua kwanini kenyatta alisema......"Nyerere anaongoza maiti haziwezi kuamka......". Ebu refer hizi kauli kidogo......." tunakulipa mshahara halafu itangaza ameshinda mpinzani.....". Kuna mtu wa kukubali kuachia ugali wake hapo????? Watu wanakuambia ameziba mianya ya rushwa ingawa ukiwauliza kaziba wapi hawakuambii, oh katumbua watu........kapunguza ajali, kazuia madawa ya kulevya, kawabana wapiga dili........bad enough wanaongea hizo points ni watoto wa vyuo.......ndo maana sisi wengine tunakaa kimya tu!!!!!! Tumewaachia nchi wafanye wanavyotaka, tukilala njaa sawa tu.....ndo walivyotuamulia.........!!!! Kuna ndugu yangu nilikua namsaidia, aliponiambia tu amepigia kura hapa kazi tu, msaada wangu kwake ukaishia pale na namba nikafuta kabisa..........akinitafuta nimsaidie kwa kutumia watu namwambia sina kitu sababu zile zilikua ni hela za dili