REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,891
Ulishafika Marekani ndugu? Sababu umeniacha hoiWewe unamaamisha eti Wakenya wanapata pesa kidogo wakiwa Marekani kushinda hapa Afrika? Wachanga upuzi saa zingine. Hapa Afrika hata ukiwa engineer mashuhuri huwezi lipwa zaidi ya dola elfu moja kila mwezi. Hapa Afrika hakuna pesa. Lakini Marekani utalipwa zaidi ya hio dola elfu moja kila mwezi hata kama kazi yako ni kuosha watu wazee mk*ndu. Marekani huwezi enda kisha ukarudi Afrika ukiwa masikini, pengine ukiwa mlevi au mtu wa gambling ndio utapoteza pesa yote lakini Wakenya wengi wanatuma pesa nyumbani na kununua mashamba na kujenga majumba.