Umemaliza mjadala, Juve wana beki nzuri, ni ngumu saaana kwa timu yoyote kupata goali kwa Juventus, sio Madrid, sio Bayern sio Barca hata Chelsea.barca wapo vizuri kwenye ushambuliaji ila tatizo lao wanataka kufungia kwenye box tofauti na madrid ambao naona wanaweza hata kukufunga nje ya box pia barca ni wafupi mipira ya juu ni zero tofauti na madrid ambao wanaweza kutumia mipra ya juu japokuwa juve wana mabeki warefu.....ila kwenye mipira kumi ya juu kwa madrid wanaweza kufunga hata goli moja au mbili
Kitu pekee walichokosa wale watu ni winga za pembeni zenye kupumua, hivyo Juve atapaswa atengeneze washambuliaji wake vyema kabla ya mechi sababu Madrid kuna viumbe vitatu.
1. Casemiro
2. Ramos
3. Varane
Hawa watu wanajua kazi zao aiseee! Juve iwe makini ktk kushambulia na utengenezaji wa nafasi zake.