Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

Unajua nini kinachoendelea hapa ni ujinga guyz! I am using a cellphone and I don't have time to proofread.

Wewe unatumia cell phone kweli wewe? Mbona post zako hazionyeshi kuwa zimekuwa 'posted via mobile'? Rufiji Rufiji Rufiji......
 
@Kiranga heshima mbele mkuu, nadhani tunatoka kwenye hoja aliyowasilisha Mheshimiwa Zitto Kabwe na kutokomea kwenye kujadili lugha ya kiuandishi. Si vizuri kubezana k.h.s vyuo na kushabikia lugha ya mkoloni (kizungu). Turudi kwenye kuijibu hoja iliyo mbele yetu, kwa nini Mwalimu aliunga mkono Biafra?
Shukrani.

"Miafrika Ndivyo Tulivyo- Nyani Ngabu"
 
What you are talking about doesn't make sense at all. How can you use one word (stop-quit) to bring your point home. It seems you have pre-conceived notion and personal vandetta against UDSM.

Kama walivyokwishaona wakuu hapo juu.

Kila post unaongeza butchering ya lugha ya watu. Kiswahili nacho ni kizuri tu, ukiongea points hata kwa kiswahili zitabaki kuwa points tu.

Bado unasema neno moja tu ?
 
Omega,

You are an IDIOT! Hivi unajua kitu kinachoitwa Ms word na Dictionary ? Hivi mtu akikosea herufi moja ya kati kati unamwambia aandike Kiswahili. Kwa hiyo kiswahili , ndio sitakasoea herfi moja. You know what, it will be wastage of time arguing with you.
 
Kwa kweli nakushauri uiache tu hii ligi maana si Kiswahili na si Kiingereza.....unaharibu tu. Pole sana mazee....
 
@Kiranga heshima mbele mkuu, nadhani tunatoka kwenye hoja aliyowasilisha Mheshimiwa Zitto Kabwe na kutokomea kwenye kujadili lugha ya kiuandishi. Si vizuri kubezana k.h.s vyuo na kushabikia lugha ya mkoloni (kizungu). Turudi kwenye kuijibu hoja iliyo mbele yetu, kwa nini Mwalimu aliunga mkono Biafra?
Shukrani.

"Miafrika Ndivyo Tulivyo- Nyani Ngabu"

Na pale nilipoongea falsafa za Machiavelli katika "The Prince" nilikuwa nimetoka ndani ya hoja?

Nilipoongelea historia ya Lyndon Johnson katika US Senate with relations to "predictability" nimetoka katika hoja?

Nilivyoongelea irony ya humility ya Nyerere kupigiwa mfano wa arrogance ya Zitto nimetoka katika hoja?

Nilivyoongelea kwamba "the truly unpredictable cultivate an aura of predictability, and those who tout themselves as unpredictable must be predictable rookies" nimetoka katika hoja ?

Au macho yako hayaoni vizuri? Au ni lawama za ubongo kuweza ku process mambo? Maana nimeongelea hoja all over the place, nikasema hata Kiingereza ni hoja, kwa maana at the very least inatuonyesha Zitto hajui kuchagua lugha ambayo anaiweza zaidi, kwa hiyo ana poor decision making process, hii ni hoja tofauti kabisa na uwezo wa lugha.

Nimeongelea fraudulent representation hapa, Zitto anakaa bungeni na kutuambia anapata habari zake kutoka kwenye Wall Street Journal, sasa huyu mtu ambaye kiingereza cha darasa la nne kinampa matatizo Wall St Journal atasoma vipi ? Anaproject image ya usomi wa Wall St Journal wakati grammar ya primary school inamshinda ? Hapa hata ukisema kutojua kiingereza si kosa, mimi naona kuna utapeli.

Mbona wabunge wengi hawajui Kiingereza hata cha kuombea maji, wameuchuna, hawajaja hapa kujitutumua, na wala siwezi kuwasema kwa sababu tu hawawezi kiingereza.

Halafu ukifikiri kwamba main point ya hii thread ni Biafra utakuwa umekosea comprehension. I will give you a pass kwa sababu ukiangalia kijuu juu tu, ukaangalia kichwa cha thread, utafikiri point ni "Kwa nini Nyerere ali support Biafra"

Actually ukiangalia post ya Zitto iliyoanzisha hii thread, na post aliyo i quote, utaona point ya thread ni kwamba Zitto anatetea unpredictability yake, ambayo anaifananisha na Nyerere kuwa unpredictable kwamba ingawa alikuwa Pan African muda mwingine alikuwa unpredictable.

Zitto alivyoanza thread tu inakuonyesha kwamba huyu mtu si makini.
 
ujinga gani mkuu? Hujaspecify

Kinachoendelea hapa ni slave mentality. Mtu mzima unakicriticize chuo simply kwa sababu alumnus wake ameandika 'vandetta badala ya vendetta' huu ni ujinga wa hali ya juu. Mwanzoni tulikuwa kwenye sentences, sasa tuko kwenye spell check ...huu ni upumbavu. Wote tunajua ya kuwa Ms Word ina hizo feature, huu ni ujinga na utoto to make a long story short.
 
Bado unaendeleza ligi kumbe.....
 
@Kiranga ni sawa umetoa hoja ulizoziambatanisha kwenye mabandiko tofauti lakini umeshikilia kunasibisha kizungu alichoandika Mheshimiwa na elimu yake ya UDSM. Cha msingi tuendelee kujenga hoja na kusubiri Mheshimiwa aje kueleza dhumuni lake la kuwasilisha bandiko hili hapa. Wacha miye niendelee kujifunza "kizaramo" kabla ya kupoteza asili yangu na kizungu karibu uzaramuni Kiranga.
Shukrani.

"Miafrika Ndivyo Tulivyo- Nyani Ngabu"
 
Naona wakuu wamemtengenezea sasa hivi inasomeka "why did Nyerere support". Halafu wamefoji hata yale maneno ya edited by so and so hayapo. Duh.

Ingekuwa kura watu wangesema "uchakachuaji".
 
Naona wakuu wamemtengenezea sasa hivi inasomeka "why did Nyerere support". Halafu wamefoji hata yale maneno ya edited by so and so hayapo. Duh.

Ingekuwa kura watu wangesema "uchakachuaji".

Kiranga nimeangalia hapo juu naona makosa yote ya lugha yamerekebishwa kweli JF Home of Great Thinkers. Naunga mkono hoja yako

"Miafrika Ndivyo Tulivyo- Nyani Ngabu"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom