Re: Msaada njiani

Karikenye

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
564
280
Wakuu habari za Usiku...

Ninatumia modem ya Vodacom ya kuwela line ya simu na nimeweka VODA BOMBA ya kulipia 30,000/= kwa mwezi tatizo tangu Ijumaa haitaki ku access website ya yahoo so siwezi ku access mail box yangu... nifanyeje wajameni??? Arrrrrrghhhhhhhh!!!:A S cry:
 
umeisha cheki na voda customer care kama huduma ya kwanza na;
pili je inafunguka site nzima ya yahoo au haifunguki?
tatu kama inafunguka ingia pale walipoandika cant access my account ili ubadilishe password maana ukibadili password inakubali kama kawaida

ciaooo kama ukifanikiwa rudisha feedback mkuu.
 
It depends na browser unayoitumia, jaribu ku-download Yahoo messenger! Hii hapa; <http://rd.software.yahoo.com/msgr/11/msgr11us.exe/> Haisumbui!
 
Back
Top Bottom