RC wa Arusha aanza uigizaji baada ya tetesi kuwa anahamishiwa Shinyanga

Crashwise,

Vipi ule mpango wenu pro-Chadema pamoja na Lema wa kumpeleka JK , The International Criminal Court, umeishia wapi?
 
Crashwise,

Vipi ule mpango wenu pro-Chadema pamoja na Lema wa kumpeleka JK , The International Criminal Court, umeishia wapi?
Tunasubiri mmalize kutumbuana majipu majiz nyie...
 
Yaani wewe unamjua vyema, maana nakumbuka akiwa DC Karatu alikuwa mtu wa mwisho kufunga bar.
Hao ndio viongozi Ccm inao waona wana vision. Kama wale wa div zero kuwa waemaji wa chama
Waemaji =Wasemaji
Sasa Nani Div ZERO?
 
....

......Karatu ntapamisiiii sana nihurumieni jamani mkinitupa huko ni mbaliiiii sana
 
Kuna tetesi kwamba RC Ntibenda wa hapa Arusha anapelekwa Shinyanga sasa haikueleweka ni kichaa gani leo kilimkumba RC huyo akaita waandishi wa habari akiwaambia anaenda kukabidhiwa madawati Fibre Board kufika kiwandani akaanza kwa kuzunguka ndani kiwanda kama vile mtu aliyepoteza pochi mara mwenyeji wake yaani mkurugezi wa Fibre Board kaja baada ya mazungumzo ya salamu akamwambia nimekuja unikabidhi madawati.

Mkurugezi huyo akamwambia mheshimiwa mbona tulikubaliana ni wiki ijayo RC kuona imekuwa soo kuwa madawati bado ikabidi aanze maigizo anakabidhiwa akapiga picha akiwa yeye RAS (Mapunda), DC wa Arusha( Nkurlu) pamoja na Hans Mkrugezi wa Fibre Board huku madawati yaliyokuwa yanaendelea yakionekana kwa nyuma, alipoulizwa mkurugenzi wa Fibre Board Tosky Hans alisema niliahidi madawati 1,000 na wiki ijayo yatakuwa yamekamilika leo tumefanya makabidhiano ya awali kama alivyotaka RC Makabidhiano rasmi ni wiki ijayo kwasababu hayajakamilika na tulikubaliana kuwa wiki ijayo yatakuwa yamekamilika.

Hivyo yeye na msafala wake wameyakuta yakiendelea kufanyiwa matengenezo ya mwisho tayari kwa makabidhiano ya wiki ijayo kama tulivyoahidiana alisema Hans, awali kulitokea kutokuelewana kati yake na wanahabari hasa wapiga picha akiwalaumu kwamba kwanini hawampigi picha alipokuwa kiwandani aliendelea kulalamikankuwa wanahabari wa arusha wamekuwa wakimhujumu mtafaruku huo uliishia kwa. Alice ambaye ni afisa Habari wa mkoa ametupiwa lawama na RC huyo kuwa ameshindwa kuwashawishi wanahabari kumpiga picha akiwa ndani ya kiwanda cha Fibre Board na kuahidi kumfukuza kazi..
Kwani shida hapo iko mapi? Umeshaambiwa hao yalikuwa makabidhiano ya awali tena kasema mtengenezaji mwenyewe.
 
Laana imeanza kufanya kazi, kama alikuwa anazungukazunguka tu! si ajabu hata huko ofisini sasa anazunguka zunguka tu.. ila Arusha hatuna hitaji la madawati kiasi cha kulifanya liwe suala la dharura tangu mwaka jana madiwani walifanya kazi nzuri hakuna mwanafunzi anae kaa chini katika jiji la Arusha. Si vibaya akaenda nayo shinyanga kawaambie ni kwa hisani ya watu wa Arusha, wao wamejitosheleza chini ya utendaji wa UKAWA .
ni sahihi mkuu,.
huku sisi hatuna shida ya dawati,.namshsngaa jamaa vipi.......
 
Shinyanga kuna tatizo gani kwani kama atahamishiwa huko?

Anaogopa Gamboshi za Shy zitamtumbua kabla ya Magufuli hajamfikia siyo?
 
Huyu RC wa A-Town nina mashaka nae maana alinichosha pale alipopiga marufuku kiroba...bidhaa ambayo imesajiliwa na TBS na TFDA na wanalipa kodi kubwa kuliko kampuni za simu.
Ukurupukaji unamponza....atafute washauri wazuri
 
Pro-Chadema bana sasa kuhamishiwa Shinyanga kuna tatizo gani au mmeamua kuanzisha huu uzi mjifariji na kujiliwaza baada ya kuzungusha sana mikono bila mafanikio.
 
Mkuu nasikia alikataza viroba sasa yeye atatumia nini maana ndio kinywaji chake nawasiwasi hata alivyokua anafanya hayo maigizo atakua alishatupia kakiroba
hahahahahaaa mkuu mbavu zangu dah. jf rahaa. nadhani atakuwa alishakatia na ukimpekuwa vzuri kwenye hilo koti lake la suti unaweza kuta japo viroba viwili na karatasi tupu 3 za viroba.
 
Back
Top Bottom