wauza Ngada Mwafaa
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 158
- 224
Hahahaha. Utawaweza hawa Mkuu?!! Hawana misimamo kabisa. Kesho tena utawaskia wanamsifu!Si mmeambizana hakuna kuandika habari za Makonda??
Hajafanya kama hivi anavyo onekana kwenye picha...?View attachment 488193
Nampongeza pia sana Mh.Paul Makonda na namuombea kwa Mungu aendelee kumlinda na ampe maisha marefu.Hiyo kamati inapoteza muda wake tu.....Makonda hawezekani na ninamsupport kwa vita yake ya madawa ya kulevya no matter how ameiendesha but amethubutu
Naomba kujua Composition ya hiyo Kamati kabla sijasema kituHeshima kwenu wakuu,
Napenda kuwajulisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo yuko mbele ya Kamati ya Maadili Haki na Madaraka ya Bunge.
Taarifa ya kamati itafikishwa kwenye Bunge zima na kusomwa.
Tuvute subira tujue mbivu na mbichi..
Hashindikani kwa kuwa wewe una M Support sio ?Hiyo kamati inapoteza muda wake tu.....Makonda hawezekani na ninamsupport kwa vita yake ya madawa ya kulevya no matter how ameiendesha but amethubutu
NYUMBU waliomeza sumu za kwenye vyanzo vya habari FEKI utawajua tu wao ni copy and paste.Ana kesi nyingi sana za kujibu.
Utapeli
Wizi
Kubambikia watu kesi
Wizi wa cheti
Ufisadi
Una wazimu Bwege weweSi mmeambizana hakuna kuandika habari za Makonda??
NYUMBU waliomeza sumu za kwenye vyanzo vya habari FEKI utawajua tu wao ni copy and paste.
Voice ya Ney bado kidgo tu,tutamjua tapeli wa vyeti mwanaccm tufungke kdgo bcHivi hakunaga Kamati ya kuwahoji wabunge wanaotuhumiwa kukosa marinda?
ameomba ruhusa kwa mtu wake? au ameamua kwenda tu mwenyewe?Heshima kwenu wakuu,
Napenda kuwajulisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo yuko mbele ya Kamati ya Maadili Haki na Madaraka ya Bunge.
Taarifa ya kamati itafikishwa kwenye Bunge zima na kusomwa.
Tuvute subira tujue mbivu na mbichi..
JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic. You are always welcome!Si mmeambizana hakuna kuandika habari za Makonda??