RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

Hiyo kamati inapoteza muda wake tu.....Makonda hawezekani na ninamsupport kwa vita yake ya madawa ya kulevya no matter how ameiendesha but amethubutu
Nampongeza pia sana Mh.Paul Makonda na namuombea kwa Mungu aendelee kumlinda na ampe maisha marefu.
Tanzania bila madawa ya kulevya inawezekana.
Makonda ni shujaa ambae legacy yake itaishi milele.
Tanzania kwanza.
 
Heshima kwenu wakuu,

Napenda kuwajulisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo yuko mbele ya Kamati ya Maadili Haki na Madaraka ya Bunge.

Taarifa ya kamati itafikishwa kwenye Bunge zima na kusomwa.

Tuvute subira tujue mbivu na mbichi..
Naomba kujua Composition ya hiyo Kamati kabla sijasema kitu
 
Hiyo kamati inapoteza muda wake tu.....Makonda hawezekani na ninamsupport kwa vita yake ya madawa ya kulevya no matter how ameiendesha but amethubutu
Hashindikani kwa kuwa wewe una M Support sio ?
You Sound like Mama Jesca vile ?
 
Heshima kwenu wakuu,

Napenda kuwajulisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo yuko mbele ya Kamati ya Maadili Haki na Madaraka ya Bunge.

Taarifa ya kamati itafikishwa kwenye Bunge zima na kusomwa.

Tuvute subira tujue mbivu na mbichi..
ameomba ruhusa kwa mtu wake? au ameamua kwenda tu mwenyewe?
 
Back
Top Bottom