RC na RPC Mkoa wa Iringa amkeni, magari kibao yamekwama usiku huu Kitonga

Hayo si majukumu ya rc na rpc majukumu ya hao viumbe ni kukifanya chama cha ccm kiendelee kukamata dola kihuni,hizo c kwenye vyeo vyao ni ccm,rpccm,rccm
 
Hali ya nchi inaendelea,kuwa ngumu!
Magari zaidu ya 2000 yamekwama Kitonga Ziringa, usiku mzima.
RC na RPC Mkoa wa Iringa wamelala huko mkoa ukiwa umesimama,raia wanatedeka.
Tulia wajasiriamali wachangamke apo kuna fursa na itasadia kuinua mapato ndani ya masaa kadhaa mpaka tatizo litakapo tatuliwa.
 
huyu atakuwa amekunywa ulanzi. hizi ndio ndivyo zilivyo akili za wafuaso wa CDM, mara zote wao wanapenda kuzua taharuki kwenye jamii, hiyo ndio furaha yao.
 
Vijana mnakuwa kama mnavuta bangi, hiyo taarifa kama unataka imfikie RC bila kuwa specific Kuna nini basi unapaswa umpigie simu
 
Magari 2000??--
Tatizo watu wa Darisalama hawajui kinachoendelea barabara kuu.
Hii barabara ya DSM-Tunduma is one of the busiest nchini, usiku na mchana.
Pale Kitonga unaweza kuta malori 100 mbele yako na huna la kufanya, na malori 100 yanatelemka huwezi overtake.

KILA DAKIKA yanapita kushuka na kupanda mlima Kitonga magar 10.
Chukua magari 10 yanayotelemka, kwa saa moja ni magari 60x10=600.
Kwa nasaa mawili ni magari 1,200 yanayoshuka.
Yanayopanda vile vile 1,200.
Hapo kirahisi kabisa unapata yjam ya magari 2,400 katika saa moja tu.
 
Back
Top Bottom