RC na RPC Mkoa wa Iringa amkeni, magari kibao yamekwama usiku huu Kitonga

Hali ya nchi inaendelea,kuwa ngumu!
Magari zaidu ya 2000 yamekwama Kitonga Ziringa, usiku mzima.
RC na RPC Mkoa wa Iringa wamelala huko mkoa ukiwa umesimama,raia wanatedeka.
HIvihawa wana utaalamu wa mambo ya barabarani??? nakumbuka kuna siku tulikwama Rusumo mpakani DK.sifuri tukamuona Kagame live ametinga,,,,,hadi raha.......gari zote ziliruhusiwa kuingia mikwamo ikaenda kutatuliwa,,,mbele kwa mbele....
 
Back
Top Bottom