Homera huwa ana mihemko sana, fuatilia historia yake hapo mbeya utagundua kitu,
Huu ni uonevu, posho za wafanyakazi hao ziko kisheria yeye Kama mkuu wa mkoa kafuata sheria ipi inayomruhusu kuchukua posho za watu na kupeleka kwenye miradi ya kiserikali?!
Anataka aonekane mzuri kwa Rais kumbe anavunja sheria na kutozingatia utawala wa kisheria na kuheshimu katiba ya nchi. Huu ni udikteta hata Magufuli hajawahi kuuufanya! Ni uonevu , ukandamizaji na ukiukwaji wa sheria na uvunjifu wa katiba unapaswa ukemewe na watu wote wapenda haki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.