Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,805
Pale hakuna mtuhumiwa bali kuna waathirika wa MADAWA YA KULEVYA amabo wanahitaji msaada wa serikali kuwatibu.
Nimekupenda bure mwenzio
Pale hakuna mtuhumiwa bali kuna waathirika wa MADAWA YA KULEVYA amabo wanahitaji msaada wa serikali kuwatibu.
Ngoja wale wabunge kama watawekwa Rumande.Tusubiri Jumatatu.Nimekupenda bure mwenzio
Kitendo cha kumtuhumu mtu kwa suala kama hili kina madhara makubwa. Hivi kisaikolojia anajiskiaje, gharama atakazotumia kwa ajiri ya kesi zitalipwa na nani, sifa mbaya alizopata zitabadilishwa na nani ikibainika baadhi yao hawahusiki?Hatujui nini tunataka nini hatutaki, yaan watanzania tuna mafinyo finyo kichwani mtu kasema "wanatuhumiwa" hajawahukumu na hiyo inaruhusiwa.
NdioMie namuunga mkono mh. Makonda ktk haya mapambano ila sijafurahishwa na kitendo chake cha kutaja majina ya sehem ya biashara ambapo wauza madawa wanapokutana kufanya biashara haramu, mfano, alipotaja sehem kama ELEMENT, GEORGE & DRAGON na Q BAR inamanisha hao wamiliki wana deal na hii biashara haramu au mh anataka nini kutoka kwao?