RC Makonda: Kuna waumini 12 walipanga kunitupia majini

Huyu bwana mdogo hastahili hata kidogo kuwa ofisini pale ilala. Inasikitisha hawa ndo vichwaa (master mind) wa Ngosha.
 
What a lousy looser he is!
Paul Makonda anakoelekea atakuwa hana tofauti na Deogratius Kisandu !
Kiongozi mkubwa kama wewe,tena Mlokole,unapoteza muda na kutishwa na Uchawi?
Wauza ngada kama wangetaka kukudhuru,wangeshindwa!?
Acha kutafuta huruma!
Ulishaonywa,kampeni yako ilikuwa nzuri,ila njia ya utendaji wako ulikuwa sio!
Ulikuwa unatafuta ujiko kwa kuwapaka matope wengine!
Mimi ni kada hadi umauti,ila huu ujinga wako matunda yako vuna mwenyewe!
Nadhani unayakumbuka ya Gwajima?
Take care!
 
mmh jini mahaba au lipi??hayamambo viongozi hawayaongeleagi hadharani kwani nimambo ya kupambana kiroho!! Safisha roho,fanya sala,tenda mema,piga kitimoto shushia na beer baridi hao wadudu watapita mbali. Ukikaa na stress na kuwaza watu,vijiba roho,vinyongo,kutusi watu yanakuvagaa. Na Hayaitwagi sentro hayo mavitu ooh.
 
Mbona anajishtukia? Yani aliwatambuaje kuptia ukurasa wake wa social network? Au ukurasa wake unamaono gani kiasi kwamba waweza kumwambia kuna kitu kibaya au watu fulan wanataka kukudhuru? Kwa kweli izi sarakasi za mwaka huu ni za kitoi sana
 
Huyu jamaa inaonyesha ni mshirikina sana, hau anayo mapepo, kuna siku aliwahi sema wafanyakazi wa jiji wanatembea na hirizi ili wasitumbuliwe.
 
Huyu jamaa inaonyesha ni mshirikina sana, hau anayo mapepo, kuna siku aliwahi sema wafanyakazi wa jiji wanatembea na hirizi ili wasitumbuliwe.
February kamletea utitiri wa waganga wa kienyeji wa kutosha toka mataifa mbalimbali nadhani hao ndiyo wanamsukuma mpaka kuripuka hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom