RC Iringa na maandamano ya feki ya wakulima Iringa kumpongeza Rais Samia

Kommando muuza madafu

JF-Expert Member
Aug 30, 2022
3,064
6,989
Leo nawaelezakile am.acho. nimekishuhidua na kukwazika nacho leo kwa upuuzi wa ajabu wa huyu mama alichotufanyia leo wakulima wa mkoa wa Iringa.

Ni hivi, jana mchana nilipigiwa simu na bwanashamba wa hapa kata moja ya hapa Iringa Manispaa kuwa RC anatuhitaji wakulima 20 toka Manispaa ya Iringa kuwa kuna ujumbe wa Rais toka Ikulu Dar wanataka kuongea nasi.

Pia akatueleza kuwa wakulima tunaohitajika ni zaidi ya mia toka Mkoa wa Iringa na wengine wanatoka Halmashauri nyingine ili hao watu wa kutoka Ikulu waje kuongea nasi. Tuliambiwa saa 2 kamili asubuhi tuwe pale Ofisi ya RC Iringa.

Kuwa nimepewa heshima na bahati kama mmoja wapo wa Wakulima watakao hojiwa na maafisa wa Ikulu. Binafsi nikaona hii ndio Fursa kwani kwa ujana huu na ukosefu wa ajira pamoja na kumaliza degree yangu nitalamba asali na mie.

Nilikuwa leo na ratiba ya kumwagilia miche yangu ya nyanya asubuhi. Pia nilipanga leo niandae shamba kwa ajili ya kilimo cha Nyanya za mwezi wa 12 nipige pesa mwezi wa tatu.

Leo Asubuhi nikatoka zangu home nimetupia na mama akanishangaa kwanini nimetupia kwani alijua naenda shamba, akanishangaa. Nikamueleza kuhusu wito na nikamuaga naenda ofisi ya RPC kuwa nimealikwa na RC kuna ujumbe wa maafisa wa Ikulu wanashida nami. Mama akafurahi pale nami nikaenda huko kwenye tukio.

Kufika pale saa 1:45 nikaona wakulima wengine wa Mufindi, Mafinga, Kilolo na wa Iringa wanakuja. Tukakusanyika pale maana tuliambiwa hao maafisa watatufuata pale. Nikashangaa tunaambiwa tuingie ndani ya geti la ofisi ya RC.

Wote tukaanza tembea kwenda kule, hahaaaaaa, wenzetu wakaanza inua mabango waliyonayo. Ni naona mapichapicha pale, hahaaaaa yule RC aliyekuwaga Barmaid katika na kutupokea pale na wakuu wa wilaya na Mayor wetu wa Iringa.

Pumbavu kabisa yule Barmaid, akaanza kuhutubia kuwa "Eti sisi wakulima wa Iringa tumeandamana kwa hiari yetu kuja kumuunga mkono Rais eti aachane na maneno ya hao watu wa hovyo. Eti tupo pamoja naye na Mama anaupiga mwingi".

Hahaa! Kweli nilikwazika kwani niliacha kazi na ratiba zangu kuja kutumiwa kwenye upuuzi. Yaani wananipotezea muda wangu kwa ajili ya ujinga wao. Yaani kwa aina hiyo ya viongozi, hatutaendelea kamwe na tutazidi kuwa maskini.

Tumempotezewa muda wetu, tumepotezewa pesa ambazo kimsingi hawajatupa nauli labda hao wakutoka bush isimani na Dabaga au Mdabulo huko.

Hawajatupa hata chai wajinga wale na zaidi tuliambiwa tufike saa 2 ila RC akajitokeza saa 4 kuongea nasi kisha akasema yeye anashughuli nyingine so akatuacha pale na Makunga mengine.

Nilishindwa kupiga picha maana walikuwa wakali ila taarifa hii itarushwa leo jioni kwenye vyombo vya habari. Mtaiona. Hiyo picha ni wenzetu wa Manyara nao walifanyiwa hivi.

IMG-20221122-WA0013.jpg
 
Safi sana wakulima. Mtu yuko keko, sinza anawakataa hao eti sio wakulima. Kadata
 
View attachment 2426282
Kama mwendo ndio huu wa kumuunga mkono Kiongozi Mkuu dhidi ya kauli iliyotolewa, ama kwa hakika kauli ya Katibu Mkuu aliyetangulia ofisini ina mashiko kwa wakulima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yetu macho hadi muuane
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Noma sana!
 
Hizi dharau! Kwenye mikutano yake tu siwezi kwenda hata akiwa anahutubia uwanja wa nyumbani kwangu, nitaendelea na mishe zangu, nitaanzaje kwenda Kwa maandamano Sjui ya kufanya nini huko!
 
Back
Top Bottom