RC Gambo amtimua DC Mnyeti baada ya kuchelewa kikao

Uneshindwa kujua ni jibu au swali kutokana na vile ulivyoandika basi huna haja hata ya kuwa na akaunt JF,
hakuna ulichojibu na hata hiyo JF nimeifaham zaman sana wakati ww bado unahangaika M12 huko Malimbe

Umeulizwa wajumbe wa KUU ya wilaya ni kina nan?Wajumbe wa KUU ya mkoa ni kina nani umebaki kubwabwaja sjui bashite sjui vitu gan teh go back to scul
 
Labda ameona Mnyeti anatekeleza ilani zaidi yake anaepambana na upinzani hivyo hofu yake nikupisha njia jamaa akae hapo maana hata Gambo kaingia hapo kisintofahamu

Gambo siasa hizi muosha huoshwa na kikao chako kilikua na umuhimu gani kuliko madhara ya bangi?
 
Dc Mnyeti amekiri kuondolewa kwenye kikao kwa madai kwamba alichelewa akiwa kwenye oparesheni ya kusaka wakulima wa bangi .
Sio excuse hiyo.Ndio maana tunashindwa kuendana na kasi ya utendaji kazi wa kisasa.Watanzania tulibweteka sana.
Kiongozi mzima unatoa excuse ya kitoto kama hiyo?hilo v8 amepewa la kazi gani?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hicho kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ni kipi?Unawajua wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya ni kina nani?NA wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa ni kina nan?Au umeandika unajua wote humu ni nyumbu wenzako?
Badala ya kuzodoa na kusuta watu, tupe elimu. Nan anatakiwa kuhudhuria kikao cha ulinzi na usalama cha Mkoa.
Mimi naanza na hawa:
  1. RC
  2. RPC
  3. RPO-Reginal Prisons Officer
  4. RSO-Regional Security Officer
  5. RIO-Regional Immigration Officer
  6. Mkuu wa Mgambo Mkoa
  7. JWTZ
  8. ....
 
Hivi hyu Gambo mbona anataka kufanya mkoa wa arusha kama mali yake? hilo ndo tatizo la kuteua watu wenye uwezo mdogo wa kufikira,
 
Gambo uwezo wake wa kuongoza ni mdogo, pengine alitakiwa kuwa kiongozi wa nyumba kumi
 
Mnara Babeli wako kazini laana inazidi kututafuna wenyewe kwa mambo wanayoyafanya ktk jamii ya Wanaarusha
 
hakuna ulichojibu na hata hiyo JF nimeifaham zaman sana wakati ww bado unahangaika M12 huko Malimbe

Umeulizwa wajumbe wa KUU ya wilaya ni kina nan?Wajumbe wa KUU ya mkoa ni kina nani umebaki kubwabwaja sjui bashite sjui vitu gan teh go back to scul
Na nimekujibu kuwa awam hii ni jambo la kawaida kutofata utaratibu,na nimekupa mlolongo wa matukio ambayo yamefanyika pasina kufata utaratibu,so hata kama DC haingii kikao cha kamat ya ulinzi na usalama cha mkoa kwa awam hii si ajabu ukamuona akiingia,ila HUENDA uwezo wako wa kuelewa ni mdogo ndo maana umepaparika
 
Sio excuse hiyo.Ndio maana tunashindwa kuendana na kasi ya utendaji kazi wa kisasa.Watanzania tulibweteka sana.
Kiongozi mzima unatoa excuse ya kitoto kama hiyo?hilo v8 amepewa la kazi gani?
Kuna tochi
 
Hawa watu wangejua ambavyo vyeo ni dhamana hakika wangekuwa wapole sana yaani.

Na kwa bahati mbaya sana wameanza madaraka wakiwa vijana sana, kitu ambacho kinawafanya watoke madarakani wakiwa vijana pia! Sioni wala sidhani kuna uhakika wakafika madarakani wakiwa na miaka 50 na zaidi. Sasa kwa kutengeneza maadui wengi kila kukicha sijui kama huwa wanawaza kesho yao wakiwa hawana madaraka huku mtaani maisha yatakuwaje.

Hivi hawa ni wababe kuliko alivyokuwa Muheshimiwa Mulongo? Yuko wapi sasa hivi? Wanafika nusu ya ubabe wa Muheshimiwa Muhongo hawa? Yuko wapi sasa hivi?

Wadogo zangu jiulizeni maisha yenu na ya familia yenu ya baadae, ubabe hauna mwenyewe huu.
Nakuongezea, ubaya hauna kwao, tena wazungu wanamsemo power no.permanent!?
 
hakuna ulichojibu na hata hiyo JF nimeifaham zaman sana wakati ww bado unahangaika M12 huko Malimbe

Umeulizwa wajumbe wa KUU ya wilaya ni kina nan?Wajumbe wa KUU ya mkoa ni kina nani umebaki kubwabwaja sjui bashite sjui vitu gan teh go back to scul
Hata wewe unaweza kuitwa kwenye KUU ya Mkoa kama kuna ufafanuzi unaohitajika kutoka kwako!!

Kwahiyo usitishe watu!!!
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo ameendelea kuonyesha umwamba Mkoani Arusha pale alippotumia nafasi yake ya U RC kumtimua DC wa Arumeru Alexander Mnyeti kwa madai ya kuchelewa dakika kumi kwenye kikao cha Kamati ya ulinzi na usalama .

Kikao hicho kilifanyikia katika ofisi yake Gambo alionyesha kutofurahia ujio wa Mnyeti tena akiwa amechelewa na kumwambia arudi nyumbani kwake akalale baada ya kujitetea kuwa alichelewa sababu alikesha kwenye operesheni ya kuteketeza bangi katika Kijiji cha Losinoni kilichopo Arumeru.

Kwa kipindi kirefu kumekuwepo na sintofahau ya mahusiano kati ya RC Gambo na Dc Mnyeti kiasi cha kufikia kutozungumza jambo ambalo linaelezwa kuzorotesha maendeleo katika Mkoa wa Arusha .

Baadhi wa wadau wa maendeleo wameshauri Rais aangalie Uwezekano wa kuwabadilisha maeneo yao ya kazi ili Mkoa ubaki salama.

Dc Mnyeti amekiri kuondolewa kwenye kikao kwa madai kwamba alichelewa akiwa kwenye oparesheni ya kusaka wakulima wa bangi .
aa72da73d7dabcc53c23de9ed08e3123.jpg
Wanamshauri Mr Sitakikudhauriwa?
 
Yaan mim nashaur serikali rufiji ipande hadhi uwe mkoa ili kati ya gambe na bashite mmoja apelekwe huko ili madaraka yao ya kulevya wakatawalie huko,
 
Back
Top Bottom